Kampuni kubwa zaidi ya Madini Duniani yaachana na mradi wa Nickel wa dola bilioni 2.5 nchini Tanzania

Kampuni kubwa zaidi ya Madini Duniani yaachana na mradi wa Nickel wa dola bilioni 2.5 nchini Tanzania

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kampuni kubwa zaidi ya uchimbaji madini duniani, BHP Group (BHP.AX), imeamua kuuza hisa zake kwenye mradi wa nikeli wa Kabanga uliopo nchini Tanzania kwa mshirika wake, Lifezone Metals (LZM.N). Mradi huo una thamani ya takribani dola bilioni 2.5, na Lifezone imethibitisha kuwa itanunua hisa hizo kwa kiasi cha hadi dola milioni 83.

1753264283076.png
Mwaka 2022, BHP ilitumia dola milioni 153 kununua umiliki wa asilimia 17 katika mradi wa Kabanga, kwa imani kwamba mradi huo wenye thamani ya dola bilioni 2.5 unaweza kuwa miongoni mwa wazalishaji wa nikeli wa gharama nafuu zaidi duniani, huku ukiendeshwa kwa kiwango kidogo cha utoaji wa hewa ya kaboni ikilinganishwa na migodi mingine ya nikeli.

Kampuni hiyo, ambayo imesajiliwa kwenye Soko la Hisa la New York (NYSE), itanunua asilimia 17 ya umiliki wa BHP katika kampuni ya Kabanga Nickel Limited (KNL), ambayo ndiyo mmiliki mkuu wa mradi huo ulioko kaskazini-magharibi mwa Tanzania.

1753264597309.png
Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa, Lifezone ilikadiria gharama za maendeleo ya mradi huo kufikia dola bilioni 2.49. Inatarajiwa kwamba mgodi huo, baada ya kukamilika kwa ujenzi na kuanza uzalishaji kamili katika kipindi cha miaka sita, utaweza kuzalisha takribani tani 50,000 za nikeli kwa mwaka.

Chanzo: afr.com

===

The world’s biggest miner BHP has sold its stake in a $2.5 billion nickel project in Tanzania at a loss as it tries to cut spending at a time of sliding profits and dividends.

BHP spent $153 million building a 17% stake in the Kabanga development in 2022, in the belief that the $2.5 billion project could become one of the world’s lowest-cost producers of nickel and also operate with a lower carbon footprint than most nickel mines.

But BHP has now opted to sell its interest in the Kabanga nickel project to its partner Lifezone Metals, for as much as $83 million, Lifezone said.

The NYSE-listed company will acquire BHP's 17% equity interest in Kabanga Nickel Limited (KNL), the majority owner of the Kabanga Nickel Project in northwestern Tanzania, Lifezone said in a filing late on Friday.

The company issued a report on Friday that put development costs for the project at $2.49 billion.

The mine is expected to produce around 50,000 metric tons of nickel annually once fully ramped up, a process that will take six years, including construction.

A final investment decision (FID) on the project is due next year.

BHP had agreed in 2022 to make an investment of as much as $100 million in the nickel mine and processing facilities if certain conditions were met.

BHP still considers Kabanga to be one of the world's best undeveloped nickel sulphide projects, said a source with knowledge of the matter, but the uncertain nickel market outlook and the miner's capital allocation framework have made investments in greenfield nickel projects challenging.

A BHP spokesperson declined to comment.
BHP has shifted its view on nickel on the back of a boom in output from Indonesia in recent years.

It put its Australian Nickel West operations on care and maintenance last year due to a poor outlook for nickel prices, and a decision on the future of those operations is due by early 2027.

As a result of the transaction, Lifezone now owns 100% of KNL, which in turn holds an 84% interest in Tembo Nickel Corporation Limited (TNCL), the Tanzanian operating company for the Kabanga Nickel Project.

The remaining 16% of TNCL is held by Tanzania's government in free carried interest. All existing agreements with BHP have been terminated and Lifezone has also assumed full control of 100% of the offtake from the Kabanga Nickel Project, it said.

Soma zaidi
 
Habari kama hizi sio nzuri sana. Kabanga kwa muda mrefu inashindwa kuendelezwa, sababu ya bei za Nickel kwenye soko.
Lakini pia, tuwe na utashi sahihi kuhusu mali tulizonazo.

Muda unabadilika kwa kasi. Sisi tunaendelea kuwa wale wale wa kung'ang'aniza 10% ili miradi iendelee.

Ukiangalia sana, unaona ufinyu wetu wa kuelewa mambo. Tunajirudisha nyuma wenyewe
 
Habari kama hizi sio nzuri sana. Kabanga kwa muda mrefu inashindwa kuendelezwa, sababu ya bei za Nickel kwenye soko.
Lakini pia, tuwe na utashi sahihi kuhusu mali tulizonazo.

Muda unabadilika kwa kasi. Sisi tunaendelea kuwa wale wale wa kung'ang'aniza 10% ili miradi iendelee.

Ukiangalia sana, unaona ufinyu wetu wa kuelewa mambo. Tunajirudisha nyuma wenyewe
Viongozi wetu wanaangalia matumbo Yao kwanza.
 
Habari kama hizi sio nzuri sana. Kabanga kwa muda mrefu inashindwa kuendelezwa, sababu ya bei za Nickel kwenye soko.
Lakini pia, tuwe na utashi sahihi kuhusu mali tulizonazo.

Muda unabadilika kwa kasi. Sisi tunaendelea kuwa wale wale wa kung'ang'aniza 10% ili miradi iendelee.

Ukiangalia sana, unaona ufinyu wetu wa kuelewa mambo. Tunajirudisha nyuma wenyewe
Kwani wenyewe wametoa sababu gani za kuuza hisa zao kwa LifeZone Metals?
 
Ni kawaida kwa makampuni makubwa kuuza hisa na kununua ili kupunguza kodi au kuhamishia uwekezaji mwingine. Kikubwa Taifa liwe na mpango wa kuchukua ujuzi wa kuja kuendesha miradi yake miaka ijayo. Kampuni za ndani zijenge reli,barabara n.k
 
Emm kwanza, huyo lifezone yeye amepata soko lililotulia la nickel? Maana sababu mojawapo ya BHP kutokuendeleza mishe kabanga ni kuporomoka kwa soko la nickel kwa muda mrefu. Sasa na wale wananchi waliokuwa wanajisomba hapo getini kila siku kwaajili ya compensation afu wanapozwa na chakula cha AKO sijui walifanikiwa kulipwa wote? Japo walikuwa wanalipwa kiduchu afu wanajengewa vijumba. Ngoja kwa leo niishie hapa
 
Huu mradi ndio JPM Ali uestablished kipindi chake?
Wa TZ washirikishwe kwenye huu mradi
 
Back
Top Bottom