Kampuni Kutoka China Kujenga Daraja la Dar- Zanzibar

Jangwani Hali tete, commitment zero, harafu mna fungua vitabu vya dar znz, Anyway acha tuu kamba ziwe ndefu kupindukia. Hawa wacheza karate Sasa watatukomesha kwa madeni
 
Daraja la nini wakati huu muungano wenyewe upo kimchongo mchongo tu? Chao chao na chetu chao,huko.tuendako lazima huu muungano utavunjika tu hakuna jinsi nyingine.
 
Crimea Russia bridge
 
Akiinject hela kule Bungeni hakuna mradi utajengwa hapo [emoji119]

Ila hilo daraja kwa mtazamo wangu ni kama limechelewa kujengwa, lilitakiwa lijengwe sambamba na daraja la Mkapa kule kusini
Shida sio kujengwa, shida gharama zake. Ni mradi ambao unakaribia trilioni 70 hadi 80
 
Km 40 sio mchezo.....GIA za kutosha...
Pale Mombasa mita chache huenda ni 100 tu wameshindwa kujenga.Kila siku ni hadithi tu.Mwishowe wameamua wakajenge kule Mtongwe ambako ni kando kando ya bahari.Kilomita 40 kwenye mkondo wa bahari Tanzania hatujafika huko
 
Basi mimi nikajua ni mradi wa gharama kubwa sana,nikawa najiuliza kwa nini iwe hivyo wakati huku vijijini kwetu hatuna maji wala umeme, barabara mbovu.

Pia aomba kuelimishwa kuhusu faida ambazo Watanganyika watazipata kupitia daraja hilo?
 
Huijui bongo hilo haliwezekani bakhresa ameshusha kitu kipya juzi tu kuna watu hii nchi wanafanya wanavyotaka kwa maslahi yao binafsi watapiga vita hyo kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…