Machame Juu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 1,514
- 3,363
Saguda de 47Mwambie bi mkubwa wako ajiandae niende naye lindo, atakuwa ananipa morali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saguda de 47Mwambie bi mkubwa wako ajiandae niende naye lindo, atakuwa ananipa morali.
Kwani lazima watu wapande botiWameshirikisha washika dau lakini kwenye huo mpango?
Kuna watu wamenunua Boti mpya na za kisasa zinatoa huduma huko, usije mradi kuanzishwa lakini ukashindwa kukamilika.
I'm just thinking loud [emoji848]
NA KUNA SEHEMU UKINGILIA SAADANI KWENDA LAZABA, HAPO NI KARIBU SANA NA ZENJI NA UKIKAA FUKWENI KAMA HALI YA HEWA IMETULIA UNAWEZA SIKIAA SAUTI IKITOKEA ZANZIBAR,Naunga mkono serikali kujenga hiyo daraja.
ila kulivuka waweke tozo ili mtu aamue either boti au barabara
71 ni Kama umbali wa kutoka Dsm mpaka RuvuHivi ni km ngapi?
Yaani tunaweza kujenga Daraja la Matrilioni lakini tunashindwa kujenga japo IRRIGATION SCHEME japo moja kwa kila KATA ya nchi hii na tunadai KILIMO cha UTI WA MGONGO...
Viongozi hawana mpango wa kuinua Uchumi wa Wananchi.... Madaraja hata yajae nchi nzima kama Wananchi hawana hela ni kazi bure...
Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 40 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni..
My Take
Kama Daraja hili litajengwa linaweza kutumia nusu ya gharama za Kujenga SGR.
Swali Je Tunalihitaji Kwa Sasa?
Ni kweli inawezekana ChiefKwani lazima watu wapande boti
Boti watapanda watalii tu
Ova
Uwanja wa ndege wa Unguja unaoiunganisha na dunia nzima ni kazi ya JPM.wewe wacha utani hapa! Hivi kwa miaka yote Magufuli alipokuwa rais wa tanzania alipeleka mradi gani Zanzibar? Mnasema kajenga hili na kile huku na kule barabara, maji nk hebu niambie ni mradi gani alioupeleka Zanzibar ikiwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania? Hakuna hata mradi mmoja uliofanywa na serikali ya Tanzania katika kisiwa cha unguja au pemba wakati wa uhai wa magufuli. Magufuli asingeliruhusu kabisa idea ya kujenga daraja kuwa reality hata siku moja. Magufuli hakuwa hakuwa akiitakia mema zanzibar. Kumbuka kuwa project zake nyingi alikuwa akizielekeza katika sehemu ambazo CCM strong hold tu!
Halafu kwa faida ya nani?Kujenga hilo daraja sio rahisi. Huo mradi kwa harakaharaka unaweza kugharimu trillion 30. Trilion 30 kujenga tu daraja kwa nchi hii bado sidhani kama tuna huo msuli
Na ndio litajengwa sasa ili watu wapige pesa kupitia mradi huo.Si afadhali cable kwenye MT. kilimanjaro gharama na faida vitarudi haraka sababu pesa ya utalii.
Hilo daraja la Zanzibar naona itakuwa biashra ya watu tu na upigaji pesa za umma.
Wajenge daraja Tanzania, ziwa Tanganyika (mahale) hadi Bandari ya Kalemie Kongo. Magari hayatapita zambia to Lubumbashi Kongo, wala hayatapita tena Kigari Rwanda, kivu Kongo. Itakua bonge la project katika Africa katika Nchi 2 zenye idadi za watu milioni 100(Kongo) na Milioni 60(Tz). Zanzibar ina idadi ya watu milion 1.9 hilo daraja ni ujinga.Kampuni ya China Overseas Engineering Group imeonesha Nia ya kujenga Daraja la km 40 Kati ya Dar na Zanzibar,Naibu Waziri Kasekenya amesema Bungeni..
My Take
Kama Daraja hili litajengwa linaweza kutumia nusu ya gharama za Kujenga SGR.
Swali Je Tunalihitaji Kwa Sasa?
Hii ya daraja kukatisha Ziwa naweza sapotiWajenge daraja Tanzania, ziwa Tanganyika (mahale) hadi Bandari ya Kalemie Kongo. Magari hayatapita zambia to Lubumbashi Kongo, wala hayatapita tena Kigari Rwanda, kivu Kongo. Itakua bonge la project katika Africa katika Nchi 2 zenye idadi za watu milioni 100(Kongo) na Milioni 60(Tz). Zanzibar ina idadi ya watu milion 1.9 hilo daraja ni ujinga.
Responsiveness at lowest best level,au kwanini asitafutwe mwekezaj akawekeza kwenye kiwanda cha mbolea,il bei ya mbolea ishuke na serikali iepukane na kuweka ruzuku. Kisha hela ya ruzuku ikafanye mambo mengne.hahahaha, ni kipaumbele chetu kwasasa?.
hakuna maeneo mengine yanayohitaji quick investment na short time return kwasasa?
Kwanini asitafutwe muwekezaji na kuingia parnership na serikali tuchimbe chuma cha Liganga na Mchuchuma kwa haraka ili bei ya chuma ipungue, then tutafute kampuni with partner na watanzania wakajenga plant kwaajili ya kutengeneza electric cars na huku tunaweka nguvu kubwa ya kuchimba graphite pale Lindi vs mass production batteries plant kule kusini?
Nchi ya wajinga hii mkuu hiyo graphite si wameshasaini mikataba sio yetu tenahahahaha, ni kipaumbele chetu kwasasa?.
hakuna maeneo mengine yanayohitaji quick investment na short time return kwasasa?
Kwanini asitafutwe muwekezaji na kuingia parnership na serikali tuchimbe chuma cha Liganga na Mchuchuma kwa haraka ili bei ya chuma ipungue, then tutafute kampuni with partner na watanzania wakajenga plant kwaajili ya kutengeneza electric cars na huku tunaweka nguvu kubwa ya kuchimba graphite pale Lindi vs mass production batteries plant kule kusini?
natamani ww ndo unge kuwa naibu waziri wa uchukuzi, sema mkisha unjeshwa asali mnabadilikahahahaha, ni kipaumbele chetu kwasasa?.
hakuna maeneo mengine yanayohitaji quick investment na short time return kwasasa?
Kwanini asitafutwe muwekezaji na kuingia parnership na serikali tuchimbe chuma cha Liganga na Mchuchuma kwa haraka ili bei ya chuma ipungue, then tutafute kampuni with partner na watanzania wakajenga plant kwaajili ya kutengeneza electric cars na huku tunaweka nguvu kubwa ya kuchimba graphite pale Lindi vs mass production batteries plant kule kusini?
Natumaini hujaelewa nilichoandika!wewe wacha utani hapa! Hivi kwa miaka yote Magufuli alipokuwa rais wa tanzania alipeleka mradi gani Zanzibar? Mnasema kajenga hili na kile huku na kule barabara, maji nk hebu niambie ni mradi gani alioupeleka Zanzibar ikiwa Zanzibar ni sehemu ya Tanzania? Hakuna hata mradi mmoja uliofanywa na serikali ya Tanzania katika kisiwa cha unguja au pemba wakati wa uhai wa magufuli. Magufuli asingeliruhusu kabisa idea ya kujenga daraja kuwa reality hata siku moja. Magufuli hakuwa hakuwa akiitakia mema zanzibar. Kumbuka kuwa project zake nyingi alikuwa akizielekeza katika sehemu ambazo CCM strong hold tu!
Mkuu. Kwa sifa na baraka ulizowapa wachina na kuwaponda wazungu sisi tulio upande wa wazungu tukajua wanatujengea bure. Kama mchina anajenga kwa pesa, hata mzungu angejenga pia kwa pesa mkuu.Wakujengee bure? Kwa gharama zao!!! Aise hii inashangaza sana