Kampuni Kutoka China Kujenga Daraja la Dar- Zanzibar

Wameshirikisha washika dau lakini kwenye huo mpango?

Kuna watu wamenunua Boti mpya na za kisasa zinatoa huduma huko, usije mradi kuanzishwa lakini ukashindwa kukamilika.

I'm just thinking loud [emoji848]
Kwani lazima watu wapande boti
Boti watapanda watalii tu

Ova
 
Naunga mkono serikali kujenga hiyo daraja.

ila kulivuka waweke tozo ili mtu aamue either boti au barabara
NA KUNA SEHEMU UKINGILIA SAADANI KWENDA LAZABA, HAPO NI KARIBU SANA NA ZENJI NA UKIKAA FUKWENI KAMA HALI YA HEWA IMETULIA UNAWEZA SIKIAA SAUTI IKITOKEA ZANZIBAR,
NA HIYO SEHEMU YA LAZABA UPANDE WA BAGAMOYO WALIPEWA WAZANZIBARI

ova
 

No one care about you wabara. It’s all about Zanzibar yeah mama anatukusanyia pesa za kutosha kutoka bara in order to create the future Zanzibar. Kuhusu nyie wabara we don’t care wat you do we only want your money and wealth only for the well-being of Zanzibarian over. https://jamii.app/JFUserGuide about sgr https://jamii.app/JFUserGuide about sijui bwawa liishe lisiishe sisi haituhusu we only want your money [emoji383] only [emoji16]
 
Hata mkeshe uchi, haitatokea At least kwa miaka 100 ijayo.
 
Wazo zuri sana. Wengine tuna ndugu wa Kinyamwezi na Kisukuma kule...
Ila eti wanadai...

Tanzania: Zanzibar And Mafia to Disappear in 100 Years?​

Wajuvi waje kutuelimisha...
 
Uwanja wa ndege wa Unguja unaoiunganisha na dunia nzima ni kazi ya JPM.
 
Si afadhali cable kwenye MT. kilimanjaro gharama na faida vitarudi haraka sababu pesa ya utalii.
Hilo daraja la Zanzibar naona itakuwa biashra ya watu tu na upigaji pesa za umma.
Na ndio litajengwa sasa ili watu wapige pesa kupitia mradi huo.
 
Wajenge daraja Tanzania, ziwa Tanganyika (mahale) hadi Bandari ya Kalemie Kongo. Magari hayatapita zambia to Lubumbashi Kongo, wala hayatapita tena Kigari Rwanda, kivu Kongo. Itakua bonge la project katika Africa katika Nchi 2 zenye idadi za watu milioni 100(Kongo) na Milioni 60(Tz). Zanzibar ina idadi ya watu milion 1.9 hilo daraja ni ujinga.
 
Hii ya daraja kukatisha Ziwa naweza sapoti
 
Km ujenzi wa daraja hilo ni kwa utaratibu wa PPP basi hapo wasimsahau Bakhresa na wawekezaji wengine nje i.e Oman. Kisha daraja lilipiwe pesa ili wawekezaji warudishe hela zao it is possible.
 
Responsiveness at lowest best level,au kwanini asitafutwe mwekezaj akawekeza kwenye kiwanda cha mbolea,il bei ya mbolea ishuke na serikali iepukane na kuweka ruzuku. Kisha hela ya ruzuku ikafanye mambo mengne.
 
Nchi ya wajinga hii mkuu hiyo graphite si wameshasaini mikataba sio yetu tena
 
natamani ww ndo unge kuwa naibu waziri wa uchukuzi, sema mkisha unjeshwa asali mnabadilika
 
Natumaini hujaelewa nilichoandika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…