Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Sisi wengine tungekuwa watumishi wa umma tungeishafukiuzwa kazi siku nyingi, hakunaga kumyenyekea mpumbavu.

Watz wagonjwa sana Habari muhimu kama hizi huwezi ona zikijadiliwa na media house yoyote

Hata magroup ya wasap ni nadra kuona mjadala kama huu
 
Usanii mwingi hawaeleweki
 
unaishi nchi gani dogo,
Kuna watu wameuwawa Kuna watu ni vilema , Kuna watu ni wakimbizi, kwa kupinga uwekezaji unaodai ni wa wazungu,

mtu mwenye akili timamu anapinga uovu bila kuangalia umefanywa na nani? Madhara ya kuwakaribisha wazungu ni sawa na kuwakadrbisha waarabu wote wanyonyaji tu.

Nyie kwenye dini yenu mwarabu akifanya ouvu mnatukuza na kuabudu
 
Hizi jargons za mikataba na makampuni kupewa mikataba ya uendeshaji tutajikuta tumepigwa pakubwa. Mtakumbuka mambo ya IPTL, Ubinafshaji wa TTCL na hatimaye kuzuka kwa Airtel n.k Halafu why 30yrs? Hii inahusisha HGA za mkataba wa DP world au?
 
JPM ni nani nchi hii? Huyo ni marehemu sk nyingi na harudi tena, tuliobaki lazima tuendelee na mipango yetu. Yule mshamba wa kisukuma alituharibia nchi km vp mfuate we bwege
Hahahahah haha najua kwa sasa tatizo sio JPM, ni reference tuu kuonyesha tofauti, ila hata kama JPM alikuwa na issues zake ambazo sikuwahi kumuelewa lakini ukiangalia vizuri hawa wa sasa ni disaster 100% ingawaje watu wanapumua kutoka udikteta uchwara
 
Hapa Rostam hana mkono wake kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…