Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Sgr Alianza kuhangaika nayo Kikwete na alikubaliana na exim bank china,barabara za kusini zilianza kujengwa awamu ya pili,muwe na facts mnapoongea mambo,haya mbona mpaka anakufa hiyo bandari efficiency yake ni chini!?..bandari ya dar ni uchochoro tu,ndogo Sana,nchi inahitaji bandari kubwa ambapo bagamoyo Kuna wasaa huo

..bandari ya Dsm ingekuwa uchochoro Dp world wasingevutiwa nayo.

..maadamu Dp world na Adani wamepewa kazi hapo bandarini tunahitaji kuona matokeo chanya.

..tunatarajia Dsm ndio iwe bandari bora ktk Pwani ya Afrika Mashariki.
 
Hawalali watu wako zao Seoul wanakula bata!
Wakitoka huko mapumziko Dubai. Halafu wasinywe maji kisa Mange!
We kweli Masikini
Acha ushamba wewe na hizo nchi ulizotaja ni nchi za kushtua basi

Wako huko amani hawana hahhahaha

Chezea Mange Kimambi wewe

Ila aibu achieni account mnaogopa nini????
 
Hata Wakorea wanampa PhD nyingine. Safari hii ni kwa ajili ya kuimarisha usafiri wa anga (kwa ndege za mwamba). PhD ya tano hiyo 👏👏👏👏

View attachment 3005306
Walishajua kuwa viongozi wetu wanashobokea sana Ph.D. za kupewa bure. Fuatilia safari zote za viongozi wengine uone iwapo nao wanagawiwa Ph.D hizo kama njugu.
 
Inasikitisha imefika wakati hata watu wenye akili zao hawahoji chochote hata mikataba ya miaka 30 au isiyo na kikomo.

Mpaka leo mkataba wa DP world ni wa siri hakuna tender yeyote iliyotangazwa. Kuna mkataba mwingine wa miaka 30 umeingiwa na huyu muhindi . Uchawa umefika sehemu hata vitu vya kitaifa sasa huwezi kuhoji eti tunasubiri Chadema!

 
..bandari ya Dsm ingekuwa uchochoro Dp world wasingevutiwa nayo.

..maadamu Dp world na Adani wamepewa kazi hapo bandarini tunahitaji kuona matokeo chanya.

..tunatarajia Dsm ndio iwe bandari bora ktk Pwani ya Afrika Mashariki.
Hii I'd ni ya organization!?..walau huko nyuma ilikua Ina mantiki,siku hizi ni uharo tu
 
The dead country kama kuna vjana kaz yao n kusifu tuuu.....tutegemee nini..tena mmoja aliyeleta uzi wa tetemeko songwe anadai kafika hadi chuo kikuu.

Uhakika alienda kusomea uchawa... Kuna uwoga upo katka jamii ...wakitolea mifano ya watu walio challenge system wakapotezwa au kufungwa...maana cxm n chama cha watu waoga...
 
Hakuna kikwete kafanya kwenye sgr, mbona mnalazimusha king, nyie na kundi lenu la huyo mzee msiga ndio mlimuua JPM kwa wivu baada ya kuona anawafunika

Una bana pua hapa etu Kikwete ndio alianziasha sgr, hata mshipa wa aibu hamna?
Mkuu ushauri wa KM mstaafu ndugu Zito Kabwe unakufaa!
 
Siri kivipi. Mkataba upo online. Ulipelekwa Bungeni na kujadiliwa.

Sasa usiri upo wapi?

Kama ni siri umejuaje kama kuna huo mkataba?
 
Siri kivipi. Mkataba upo online. Ulipelekwa Bungeni na kujadiliwa.

Sasa usiri upo wapi?

Kama ni siri umejuaje kama kuna huo mkataba?
Acha muhemko ndugu Mange anavua nguo nchi huko hatuna mipango hatuna wazee kina mkuchika wanafanya nn jmn 😢😢🙏🏿
 
Back
Top Bottom