Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Suluhisho la kukosekana kwa usimamizi/management thabiti ya sekta mbalimbali za nchi sio kuuza tu bali kuwaondoa hao wanaoshindwa kusimamia vyema.
Watanzania ni hao hao. Utawageuza, utawabadili na utaendelea kuvuna mabua.

Angalia miaka ya BM Mkapa na AH Mwinyi. Kuna mashirika ya Serikali kama NBC, TCC, TBL, TTCL na mengine kidogo. Haya yalipokuwa yanauzwa wananchi walilalamika sana. Walikuwa wanatetea ajira zao au ajira za ndugu zao. Lakini kiukweli mashirika haya yalikuwa yana tia hasara Serikali.

Miaka 30 baadaye chini ya wawekezaji binafsi Seriakli inapata kodi na magawio ya kutosha kutoka kwenue makampuni haya.

Isitoshe na bidhaa wanazozalisha na huduma wanazotoa ni bora na zimeleta mnyororo wa thamani ambao umetengeneza ajira nyingi zaidi kuliko ilivyokuwa enzi zikiwa chini ya Serikali.

Waacheni wawekezaji waje tujifunze kuwa serious na mambo yetu
 
Serikali ikamatie hapo hapo wanaotetea na Makelele wananufaika na upuuzi na wizi na dili za upigaji.

Kwa kuwa kama Nchi tunaoneana aibu Kwa kutunga zile sheria Kali za kushughulikiana basi tuwape private sekta Ili tusilaumiane maana wao ni Wataalamu wa management uzuri hata Serikali inakuwa shareholder.
 
Hakuna kikwete kafanya kwenye sgr, mbona mnalazimusha king, nyie na kundi lenu la huyo mzee msiga ndio mlimuua JPM kwa wivu baada ya kuona anawafunika

Una bana pua hapa etu Kikwete ndio alianziasha sgr, hata mshipa wa aibu hamna?
Unachobisha nini we mpuuzi
“I have asked President Jacob Zuma to help us secure a low interest loan from Brics to finance particularly the SGR project,” President Magufuli said.

The project was initiated by the former president Jakaya Kikwete but was suspended by Magufuli when he came to power. Magufuli had suspended a Chinese contractor over alleged irregularities in the tendering process.

SOURCE: Tanzania struggles to get bonds to finance standard gauge railway | Africanews
 
Kwanza JK alishaweka Hadi Jiwe la uzinduzi ila kabla ya ujenzi kuanza Magufuli akaingia akafukuza Wachina akaweka waturuki wake.
 
Hakuna kikwete kafanya kwenye sgr, mbona mnalazimusha king, nyie na kundi lenu la huyo mzee msiga ndio mlimuua JPM kwa wivu baada ya kuona anawafunika

Una bana pua hapa etu Kikwete ndio alianziasha sgr, hata mshipa wa aibu hamna?
Wewe boya uwe unaweka kumbukumbu sawa,JK alishazindua Hadi ujenzi wa SGR na Wachina ila kabla ya ku take effect ndio Magufuli akaja kuvuruga akaweka waturuki wake.
 
Mwekezaji anasema wamesaini mkataba, TPA wanashindwa kusema chochote. Hili jambo tungoje tutaona mengi

1717310025881.png
 
Back
Top Bottom