Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

Reference ya uhakika

Mbona mmemfungia page yake kama wewe na serikali ya mamako samia hamumuogopi?

She is a threat.....tehe the tehe hamnyi maji wala hamlali
Eti hawanywi maji wala hawalali. Masikini unajifariji huku ukitamani waliopewa wanyang'anywe.
Lile shetani lenu la Chato liliwaharibu sn kwa kuwakaririsha kuwa nyie ni wanyonge. Akataka matajiri waishi km mashetani. Kwa nn wasimtangulize!! Sasa we baki kuomboleza
 
Hakuna anayechukia wawekezaji, tatizo ni hiyo mikataba yote ni wizi mtupu na haina faida yeyote zaidi ya 10% za wapigaji, pitia mikataba ya ndege mpaka dhahabu ni uchafu mtupu na hasara kubwa kwa Taifa
Hujui kwa kina kinachoandikwa kwenye hiyo mikataba una uhakika upi kuna wizi unafanyika?. Story tu za kijinga za wakosaji.
 
Hakuna anayechukia wawekezaji, tatizo ni hiyo mikataba yote ni wizi mtupu na haina faida yeyote zaidi ya 10% za wapigaji, pitia mikataba ya ndege mpaka dhahabu ni uchafu mtupu na hasara kubwa kwa Taifa
Hujui kwa kina kinachoandikwa kwenye hiyo mikataba unajuaje kwamba kuna upigaji?. Akili za wivu zinatusumbua siku zote.
 
Mkuu ya kweli hayo! nasikia kutokana na kula kwa useful wa kamba zao kwa Waheshimiwa, walalahoi wengi wamejiondoa na hivyo kubaki 6M.
Siyo kweli mkuu, ninachokueleza ni fact, tena wanachama hai, karibu ujiunge fika tawini utaonyesha kitambulisho, utapigwa picha utapewa namba maalumu.
 
Hujui kwa kina kinachoandikwa kwenye hiyo mikataba unajuaje kwamba kuna upigaji?. Akili za wivu zinatusumbua siku zote.
Either umeamua kujitoa akili uwe chawa au huna akili tuu, kingine labda una maslahi which I highly doubt, Kama experience na matokeo ya mikataba ya CCM haijakufundisha kitu please go educate yourself labda utaelewa kidogo
 
Mwenyeji wa Ngara Kagera, sizipendi hizi hulka za kudanganya watanzania kisa serikali imeingia mikataba ya kibiashara pale bandarini.
Tena wewe wa Ngara una mfano mzuri na hawa wezi wa CCM na Kabanga Nickel, miaka mingapi sasa nini kinaendelea pale Kabanga? ni utapeli mtupu huku billions of proven nickel tons na hakuna kodi wala employment kwa watu wa Ngara, Bandari tumepigwa amini hivyo
 
Huu ni ujinga tu wa mitandao, mikataba iliyosainiwa kuhusu uwekezaji wa DP World haihitaji udaku kama huu eti ndio uonekane wa maana, this is stupid thinking I'm sorry to say openly.
Hakuna mkataba pale acheni kutetea ujinga

Tatizo lenu hamuangalii mbele mnajua kabisa likija kuleta shida mbelemi mtakuwa mko kaburini kwa hiyo haiwahusu hapo ndio ujinga wenu ulipo
 
Kabanga Nickel ni tofauti kabisa na uwekezaji pale TPA bandari, hizi zako ni akili zile zile za kiafrika zenye kudhani kila biashara tunaibiwa sisi tu.
 
Kabanga Nickel ni tofauti kabisa na uwekezaji pale TPA bandari, hizi zako ni akili zile zile za kiafrika zenye kudhani kila biashara tunaibiwa sisi tu.
Duh, yaani unavyohangaika humu kutetea ujinga, uongo na wizi...inashangaza, inasikitisha na inakasirisha. Kwanza hayo majina unayojiita moja kwa moja yanakuumbua, eti Steven Joel Ntamusano! Huna tofauti na mbuni...kichwa ndani mchangani, maslahi nje nje!
 
Mkataba wa TICTS si uliisha?? Kwa hiyo huu ni mkataba mpya. Je tulikuwa tuna uhitaji WA baadhi yetu walikuwa Wana uhitaji
 
Usichokijua sawa na usiku wa kiza, Tafuta elimu mpya inayobadilika kila siku usiunyime ubongo wako nafasi ya kukua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…