Kampuni ya basi Machame safari Kutoka Dar ~ Arusha zimeadimika barabarani shida nini?

Kampuni ya basi Machame safari Kutoka Dar ~ Arusha zimeadimika barabarani shida nini?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Hii kampuni ilianza Kwa speed ya 5G , Kwa safari Za Dar Es Salaam kwenda arusha.

Ili fungua Ofisi kila mahali Huku Dar Es Salaam na Arusha .

Ukilipanda ulikuwa Unapewa soda , juice na pipi sasa gari zimeadimika barabarani Tatizo ni nini!!

Au wanahisi walichomoa Huku Hisa zao!!
 
Tajiri alifariki kipindi cha COVID-19 inaonekana warithi game limewashinda.
 
Hakuna mkoa Tz unaitwa Da

Pili, sijui chochote kuhusu mabasi hayo maana safari zetu ni za Ungo, yani kutoka Dar hadi Mwanza ni sekunde 5
 
Utajiri wa kiafrika, mwenye mali akifa anaondoka na mali zake.
 
Back
Top Bottom