Kampuni ya ElSewedy Electric Co inayotengeneza bwawa la umeme Rufiji imewekewa vikwazo, haitaweza kukopesheka nje

Mwalimu alisema habari ya kuhamia dodoma akashindwa,huyu ameweza
yapo mengi yanayoonyesha jamaa amefanya kazi,ila tuendelee
kuvaa miwani ya mbao,atasifiwa na watoto wetu baada ya sisi kufa.
 

Hujui implications ya hiyo decision. Ni hivi, huyo mkandarasi hana namna zaidi ya kujitoa maana hatapata kazi nyingine mahali pengine. Na hakuna mkandarasi (unless awe anatokea China, Korea Kaskazini au Iran) atakaeitaka hiyo kazi kwa sababu hiyo hiyo. Na sababu nyingine ni kuwa sisi wenyewe tunategemea kukopa ili tuweze kukamilisha huo mradi, HAKUNA international financial institution yeyote itakayotoa mkopo ku-finance mradi ambao umekuwa blacklisted.

Huo mradi ndio umefikia mwisho wake.
 
Huu mradi utaenda mpaka mwisho hakuna namna , vikwazo ni sehemu ya maisha , hata utajiri hauji umenyooka ,maana hakuna fedha rahisi Munguatatubariki natutafika kwenye maisha mema na matamu.
 
Yaani watoto wetu waje kusifia kuhamia Dodoma. Kwani kuna faida gani kuhamia Dodoma?
Sisi tuliosoma kipindi cha siasa enzi za mwalimu,sababu za kuhamia dodoma
tulijifunza darasani japo hakuitekeleza sera yake.
Nikupe sababu mojawapo ni wale wa mikoa ya kagera,kigoma na geita
kwa sasa wanauwezo wa kufika makao makuu ya nchi na kutatua kero zao
kuliko ilivyokuwa zamani,ukiambiwa uende makao makuu ya wizara,tenga wiki na zaidi.
 
Mabeberu ni hatari Ndugu yangu....Na nchi hiyo rafiki isiwe China kwani hao ni wabaya kuliko mabeberu wanaofahamika...nchi za ulaya zinaendelea kwa sababu ya Afrika na America ya Kusini...imperialism at work...walianza na slave trade...wakaharibu na kuua raslimali watu in millions..wakaua teknolojia ya Afrika..ukaja ukoloni...nao ukawa ni hatari zaidi...resources zote kwenda ulaya...wakaua our dignity, utamaduni na kadhalika...wakaua hata self belief yetu...psychologically tunajiona hatuna akili wala uwezo kuliko wazungu..,ikaja neo-colonialism plus imperialism and globalization...
 
Inaelekea unafurahia kinachotokea kuhusu matatizo
 
WATANZANIA tunasikitishwa sana na hii serikali ya kibabe na isiyofuata ushauri, infact siyo serikali ni UKAIDI WA MAGUFULI
 
Tunajenga miradi mikubwa kwa fedha za ndani ha ha, hizi kauli nazo tuziangalie sana huwezi jinasibu una hela then uende kwa mtu umwambie nikopeshe hela, mazingira jambo moja ila upande wa pili lazima kama nchi tuangalie kauli tuzitowazo eti donor country.
 
Kwa factor ya mazingira hakuna kampuni yoyote ya Wazungu wangekubali kujenga huo mradi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile nyingine ya Arab contractors nayo taabani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…