DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Mi naona bado ni yale yale unless uniambie itadumu kwa siku tatuSimu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone)....
Sentensi tata..itanifaa sana haswa ukizingatia siku hizi rafiki yangu ninae kaa nae muda mrefu ni simu yangu
Matumizi ya betri inategemea na Hardware na Software zilizopo kwenye simu husikaMi naona bado ni yale yale unless uniambie itadumu kwa siku tatu....
😀😀🤣🤣ni hatari sana ikilipuka au kupiga shoti
Block phoneKubwa sana hii labda kama unaenda porini ndio inafaa.
Labda wameboresha Processor mkuu..Siku 50 labda huiwashi inakaa standby, hio haimalizi siku kama unafanya matumizi heavy.
Kama 4000 mah inakaa siku nzima tuseme haizidi 24, inakuwaje 18000 mah inakaa siku 50? hii inafaa kukaa siku si zaidi ua 9Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone).
Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako.
Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa siku 50.
Simu hiyo inatajwa kuwa na betri yenye uwezo wa (18,000 mAh) huku betri yenye uwezo mkubwa kwa sasa kwenye simu za mkononi inatajwa kufikia 5000mAh.
mAh ndiyo kipimo cha uwezo wa betri ya simu, mAh ni kifupi cha ‘’milliampere-hour’’ ambayo inatumika kupima uwezo wa betri kwa muda fulani.
View attachment 2889977