Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au inaweza kutumika Kugongelea Misumari kwa Mafundi kama umesahau Nyundo🤣🤣Kwenye sifa wangeongezea yaweza kutumika kama silaha
Simu kilo 2 nani abebe, hiyo sio businessSimu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone).
Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako.
Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa siku 50.
Simu hiyo inatajwa kuwa na betri yenye uwezo wa (18,000 mAh) huku betri yenye uwezo mkubwa kwa sasa kwenye simu za mkononi inatajwa kufikia 5000mAh.
mAh ndiyo kipimo cha uwezo wa betri ya simu, mAh ni kifupi cha ‘’milliampere-hour’’ ambayo inatumika kupima uwezo wa betri kwa muda fulani.
View attachment 2889977
Iliishia charge inachargiwa kwa muda gani? Usikute ndio unakaa siku 15 bila simu kisa iko charge 😂😂Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone).
Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako.
Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu yenye uwezo wa kukaa na chaji kwa muda wa siku 50.
Simu hiyo inatajwa kuwa na betri yenye uwezo wa (18,000 mAh) huku betri yenye uwezo mkubwa kwa sasa kwenye simu za mkononi inatajwa kufikia 5000mAh.
mAh ndiyo kipimo cha uwezo wa betri ya simu, mAh ni kifupi cha ‘’milliampere-hour’’ ambayo inatumika kupima uwezo wa betri kwa muda fulani.
View attachment 2889977
kubwa kidogo ni mAh ngapi?😀😀🤣🤣
Hilo ni bomu sana Mkuu 18 ni kubwa sana
Tatizo alianza kutengeneza bila kuangalia hitaji la soko .huaanzii tu kutengeneza soko kwanza lipo?Watu wangeona Ina soko wafanyabiasha binafsi wenye pesa wangejiunga naye huo mradi sio serikali .Au kama angependa kukomaa na anaamini hiyo gari yake itakuwa na soko angeenda kukopa Benki andeleze huo mradi wakeMaendeleo ya Teknolojia
Huwa najiuliza Kuna Siku nasi Tanzania tunaweza kufikia uvumbuzi wa namna hiyo?
Maana gari tu la Masoud Kipanya (KP) Serikali ilishindwa kumsapoti.
18kkubwa kidogo ni mAh ngapi?
"RAFIKI NINAE KAA NAE MUDA MREFU NI SIMU YANGU"Sentensi tata..
"Muda mrefu ni simu yangu"
Pamoja na hilo Mkuu ila jitihada za Serikali zingeonekana kwenye kumsapoti as Serikali ina tools zote za kumfanya jamaa ubunifu wake ujue.Tatizo alianza kutengeneza bila kuangalia hitaji la soko .huaanzii tu kutengeneza soko kwanza lipo?Watu wangeona Ina soko wafanyabiasha binafsi wenye pesa wangejiunga naye huo mradi sio serikali .Au kama angependa kukomaa na anaamini hiyo gari yake itakuwa na soko angeenda kukopa Benki andeleze huo mradi wake
Kubwa sana hii labda kama unaenda porini ndio inafaa.