Kampuni ya GSM inapata Faida gani Kubwa kiasi kwamba kila mara inatoa Misaada ya Fedha na Kampuni zingine kama MeTL haziwezi na hazitoi Misaada?

Home Shopping Centre
Gharib Said Mohamed

Hawa Ni Wajanja Wajanja Wanapenya Na Kukwepa Mambo Tele
Company Zinapata Faiida
 
Yaan hata sadaka wakitoa utacheka au tu ni hii kampuni jamani 😂😂😂😂 waarabu wakichinja wanachinja haswa ,hawa wetu yaan kama wamelazimishwa
Sasa labda hao ni shares na sio mali ya familia
Ila kwa kweli kutoa ni moyo
Yaani uwezo wa kichinja ng'ombe ninao kwanini nichinje ka mbuzi?

Ila Waarabu wanatoa sana sio uongo na hata ukienda nchi zao kutembelea marafiki na jamaa, utapokelewa kwa ukarimu wa hali ya juu
Hilo nimeliona kwa macho na kila mwaka huwa napita nchi mojawapo
 
Hapana kampuni yao kabisa
 
Back
Top Bottom