Kampuni ya kubet TZ (Pigabet) ni wezi wakubwa, nimekula mkeka mil. 6 online, haitoki eti kuna shida ya mtandao siku ya 10 leo

member wa leo leo kaingia na kuanza kutetea kampuni siyo?
 
Hakika mtakuwa sio wezi maana sio kwa speed hii ya kufungua akaunti mpya ili mjitetee
 
Wakuu nifundisheni jinsi ya kubet, Hali ni Ngumu Wallah [emoji30]. Ñafanyaje nijifunze kubet Wakuu. Sio utani namaanisha Wakuu
Ukitaka kuanza Kubeti kwanza lazima
@) ujiandae kisaikolojia
b)Uwe na moyo wa chuma
,c)Usiwe mwepesi wa kukata tamaa
d) Usibetie hela Ada ikiwa wewe ni mwanafunzi
e) Usibetie Hela ya Bajeti ya msosi ikiwa wewe ni Baba au Mama wa nyumbani

vigezo na mashart zingatia
 
Jina la kampuni lenyewe piga maana yake ni kupigwa kama walivokufanyia
 
Kampuni ya kubet online ni sportpesa tu achaneni kampuni za vichochoroni, sportpesa hata mechi ikiisha tu na pesa zinaingia muda huo huo na unatoa..

Na pia jackpot yao mechi ya mwisho ikiisha tu kama umeishinda muda huo huo pesa inaingia
Acha kuwapigia debe sportpesa, hawana bonus, mm natumia betpawa bonus mlima malipo ni hapohapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…