Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zoran anaelekea Egypt usiku huu.Dunia ya kesho ni kama itakua yote imevaa boxa vile......nawaza tuuu
member wa leo leo kaingia na kuanza kutetea kampuni siyo?Kampuni ya Pigabet kwa sasa tunashughulikia suala la kutoa fedha kupitia mitandao ya simu.
Utoaji wa fedha bado unaendelea kwa wateja wetu kupitia mfumo wa fedha taslimu kwenye kasino zetu yaani Palm beach pia Legrande zilizoko Dar es salaam,tunaomba radhi kwa changamoto hii.
Utoaji wa fedha kwa njia ya mitandao utarudi hivi karibuni
Tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa namba +255 620 818181 ni furaha yetu kukuhudumia.
Hakika mtakuwa sio wezi maana sio kwa speed hii ya kufungua akaunti mpya ili mjiteteeKampuni ya Pigabet kwa sasa tunashughulikia suala la kutoa fedha kupitia mitandao ya simu.
Utoaji wa fedha bado unaendelea kwa wateja wetu kupitia mfumo wa fedha taslimu kwenye kasino zetu yaani Palm beach pia Legrande zilizoko Dar es salaam,tunaomba radhi kwa changamoto hii.
Utoaji wa fedha kwa njia ya mitandao utarudi hivi karibuni
Tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa namba +255 620 818181 ni furaha yetu kukuhudumia.
Maisha rahisi? Kwani anatumia makaratasi kubet?Maisha rahisi yana gharama zake pole sana
AKIDANGA SHIDA, AKIBETI SHIDA!Ila sahivi maisha mchaka mchaka Hadi wakina khadija mnabeti.. walahi 2030 wanaume watatuoa hawa wadada..😂
usijalibu kujifunza,achana na huu mchezo.Wakuu nifundisheni jinsi ya kubet, Hali ni Ngumu Wallah [emoji30]. Ñafanyaje nijifunze kubet Wakuu. Sio utani namaanisha Wakuu
Mwamangu leo vipi mzee baba 😊😊😊Dada khadija naomba odds 1.8 za leo
Kwenda dar kama upo mkoani kufuatilia hela nyingi hvyo mbona faster kinaeleweka na hela unarudi nazokwani wanaobet wote online wapo,dar?
Mtu akijichanganya analizwa hapa mda si mrefumember wa leo leo kaingia na kuanza kutetea kampuni siyo?
HahahahIla sahivi maisha mchaka mchaka Hadi wakina khadija mnabeti.. walahi 2030 wanaume watatuoa hawa wadada..[emoji23]
Hivi kwa nini unanichekesha hiviTena yamkeka..[emoji23]
Siyo kubeti tu ni kubeti na kula hela ndefu,Ila sahivi maisha mchaka mchaka Hadi wakina khadija mnabeti.. walahi 2030 wanaume watatuoa hawa wadada..😂
Umeamu tu kuchekaHivi kwa nini unanichekesha hivi
Ukitaka kuanza Kubeti kwanza lazimaWakuu nifundisheni jinsi ya kubet, Hali ni Ngumu Wallah [emoji30]. Ñafanyaje nijifunze kubet Wakuu. Sio utani namaanisha Wakuu
Nipo mwanawane....shem ajambo lakiniMwamangu leo vipi mzee baba 😊😊😊
Acha kuwapigia debe sportpesa, hawana bonus, mm natumia betpawa bonus mlima malipo ni hapohapoKampuni ya kubet online ni sportpesa tu achaneni kampuni za vichochoroni, sportpesa hata mechi ikiisha tu na pesa zinaingia muda huo huo na unatoa..
Na pia jackpot yao mechi ya mwisho ikiisha tu kama umeishinda muda huo huo pesa inaingia