Kampuni ya mabasi Esther Express yaingiza mabasi mapya 19 nchini

Mabasi 19 tu kwa kampuni yenye waendeshaji makini iwe ndio sababu ya kufanya sherehe kweli? Mbona kuna nchi moja jirani iliwahi kuingiza mabasi 200 ya aina hiyo bila mbwembwe na vigelegele? 😳 🤔 🤔
 
Vituo vya Meru vinaonesha vina management ya kueleweka.

Kipo pale Kahama ukipita utashangaa parking ilivyochafuka malori haijalishi ni saa ngapi.
 
Kunekuchaaaaaaa!!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii biashara yaonekana ni nzuri SGR ijipange haswaaa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ukiongea na wamiliki wa mabasi wanakwambia ni biashara pasua kichwa. Hata akikupigia mahesabu kwenye karatasi mkiwa wote utakubaliana na hoja yake.
Kwa mfano anakwambia ili basi lianze kuleta faida ni miaka miwili mpaka mitatu.
Cha kushangaza unakuta kila mwaka anaongeza mabasi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…