Kampuni ya mabasi Esther Express yaingiza mabasi mapya 19 nchini

Kampuni ya mabasi Esther Express yaingiza mabasi mapya 19 nchini

Vituo vya Meru vinaonesha vina management ya kueleweka.

Kipo pale Kahama ukipita utashangaa parking ilivyochafuka malori haijalishi ni saa ngapi.
Halafu vingi vina Atm machines , sijui anapataje hiyo channel
 
Ndugu zangu naomba nitoea pongezi kwa kampuni ya mabasi Ester Express kwa kusikia kilio cha wasafiri hapa nchini.

Kampuni hii imeingiza mabasi mapya ili kurahisisha usafiri hasa mikoani. Hongereni sana.

View attachment 2568697
Abood kaingiza 50 mbona swasikii wakitangazwa,
Umbea tu
 
Vituo vya Meru vinaonesha vina management ya kueleweka.

Kipo pale Kahama ukipita utashangaa parking ilivyochafuka malori haijalishi ni saa ngapi.
Esther ya mrombo, mountmeru vya Muhindi sjui uhusiano uko wapi
 
wanaiba kod zetu wanaongeza mabas nyie mnashangilia jinga kabsa unajuw hayo mabas yanamilikiw na nan? au unashangilia tu
 
Back
Top Bottom