Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Sio kweli, magazeti makomgwe kama new york times, washington post, the guardian nk yapo strong sababu yanaandika habari za kusomeka kwa uhuru na yanafanya tafiti na kuandika habari za uchunguzi.
Hapa kwetu magazeti aina hiyo yalishafungiwa na kubaki tu na yale yanayosifia wasio na sifa
 
Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Hata online media Kama wanaandika habari za kusifu na kuabudu chama Fulani wataangukia pua tu.
Remember hakuna mtu anayenunua gazeti ili asome habari za kusifu na kuabudu upande mmoja
 
Hayo ndo matokeo ya kuacha taaluma zenu na kugeuka praise Timu ya watawala.waambieni wawape ruzuku Sasa!!
 
Hii kampuni wahariri na proof readers wake ni wa hovyo, huwa kuna makosa mengi ya lugha kwenye magazeti yao, sio ajabu mauzo yao kushuka na kushindwa kupata faida.

Vv
 
😆😆😆😆
 
Online media imeua sana print media. Huu ni ukweli usioepukika. Duniani kote the situation is the same. Huwezi kuilaumu serikali katika hili, kama una akili timamu of course.
Sio kweli. Nenda Marekani magazeti yanauzwa kama njugu. Hata hapa kwetu magazeti ya udaku yanauzwa sana pamoja na ya michezo. Serikali imeua printing media kwa kupeleka matangazo Daily News na TBC. Kenya tu hapa Daily Nation wanauza sana. Labda ujifunze umuhimu wa print media na Electronic media ambayo imezaa social media. Times na the Economis magazine bado zinauza sana. Uhuru linapewa matangazo kila siku. Media zinaenda kufa zote

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
hahhaa ushaambiwa biashara imekua ngumu we ushaaanza siasa! vijana mnakwama wap, mbna nokia ilikufa, dunia inabadilika na pesa znakuondoka kila sku we endelea kungangania hicho kiyoyozi apo gorofani
Wewe ndio unaweka siasa!! Kwani hujui biashara karibia zote nchini ktk awamu hii zimekuwa ngumu kutokana na mipango ya uchumi isiyoeleweka!! Jana ulimsikiliza dangote!! Alichokisema!! Kwenye sekta ya habari, inakufa kutokana na sheria/ubabe unaovilazimisha kutangaza habari zinazowafurahisha watawala tu!! Hapo nani atanunua gazeti!! Kipindi cha gazeti la mawio/mwana halisi mbona ilikuwa ukichelewa tu unakuta yamekwisha?!! Na bado
 
Msaki has failed to evolve. Mimi sijanunua magazeti mwaka huu wote and am informed like anybody else. Mitandao noma sana
 
Hivi hayo magazeti yapo?
Njia nyingi za kupata habari hata magazeti hatununui
 
Hii kampuni wahariri na proof readers wake ni wa hovyo, huwa kuna makosa mengi ya lugha kwenye magazeti yao, sio ajabu mauzo yao kushuka na kushindwa kupata faida.

Vv
Waanduishi pia NI makanjanja tu wanapenda habari za umbea zaid
 
sasa cha kushangaza nn apo, kodi unalipa 18% unasubiria 18% ijenge nchi nzima? yawezekana hata kodi hulipi, mfano states wanalipa mpaka 60% ya mshahara wao
States ipi hiyo unayozungumzia?! Acha ujinga wewe
 
Duh...!. Could it be
Or sababu hizi

P
 
Uzalendo ni pamoja na kumhurumia mtanzania mwenzio akiwa na changamoto.
Kama unafurahia dangote kufunga kiwanda na new habari kusitisha uzalishaji, maana yake unafurahia maelfu ya watanzania wenzio wanaoenda kukosa ajira kwasababu ya kufungwa kwa makampuni hayo mawili. Huu uzalendo wako ni wa kutilia shaka. huenda si uzalendo, ni kujipendekeza ndiko kuliko kujaa.
 
Shida Tanzania ya leo Upo uzalendo wa aina aina,Upo uzalendo maslahi na uzalendo halisi,wazalendo maslahi wao wanajua kila kitu kizuri ama kibaya,ila Kita bebwa kwa mgongo wa uzalendo.Hata pale wanapo haribu,sasa kama mharibifu anajiona ndie mzalendo ,huoni kuwa tatizo nihilo na sii kisingizio chochote.
 
Ulinunua gazeti lini kwa mara ya mwisho!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…