Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

Endeleeni kumuamini kwa kila anachoongea na kupiga makofi mkathani ni ukweli mtakuja kunipa majibu siku moja.usaniii kwa kila jambo hatavisivyofaa kufanya usanii uwongoo mwingii inakera sana
 
Sasa sijui kati yangu na wewe nani ambaye hajaenda shule? Unachoongea sasa hivi ni kusupport Yale aliyosema Raisi na ndiyo ninalolijuwa mimi. Kwamba vile vichwa havijaja pasipo kuwa na mwenyewe. Ila jua kuwa hadi Raisi ameenda pale kufungua ule mradi wa ukarabati, hakukuwa na jibu la nani alileta vile vichwa pale na mwenyewe ni nani. Tatizo lako, akili yako haina akili ya kuchambua maswala ya msingi. We umekalia umbea tu.
 
Huyo Mkurugenzi wa Bandari na yeye ni jipu,hakuna kitu anakijua kilicho hapo bandarini amekuwa mtu wa kupika taarifa
 
Na wewe umekosea ni BILL OF LOADING

Ni LADING sio LOADING

A bill of lading (sometimes abbreviated as B/L or BoL) is a document issued by a carrier (or his agent) to acknowledge receipt of cargo for shipment. In British English the term relates to ship transport only, and in American English to any type of transportation of goods
 
Kwanza huyo aliekanusha ndo wa kuanza nae,
akiminywa makende sawasawa atasema tu...
Unajua hawa watakatisha hela bila kuwakomalia watatusumbua sana..
Itakuwa hela zilipigwa hapa
 
Hahaa, wanaogopa hata kuvisogelea vinaunguza
Mimi nashangaa sana mkuu, kitu kimeandikwa TRL lakini mhusika hataki hata kusikia jina linatajwa kwamba yeye ndo mhusika haya ndo maajabu yaliyopo Tz.
 
Mkuu vichwa ni vya TRL; tena nasikia walishalipa cash.

Hata wakivikataa, supplier hana hasara.
sasa kwa nm wanakataa kitu walichoagiza na kulipia?
kweli haya maajabu
 
haya bwana mkuu alsema kwanza ni vibopvu labda tukate chuma chakavu haya kazi kwenu
 
Hivi kumbe watu walimuamini alivosema vichwa havina mwenyewe, kweli watanzania hatupo siriaz, hivi kweli bandari inaweza pokea mzigo ambao hauna mwenywe, kwa mpenda kiki lingekuwa jambo la kweli siku ile kuna watu wangekosa kazi kwa manufaa ya uma... Kwa wanaomfahamu huyu ni mzee wa exaggeration
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…