Waislamu uwezo wa kudhibiti matamanio mdogo mno wawe wanawake au wanaume ila kwa wanaume ni zaidi inabidi dunia itangaze kuwa matamanio ya wanaume wa kiislamu yako juu mno na ni janga la dunia
Wakristo uwezo wa kuhimili matamanio ni mkubwa kuliko waislamu
Mfano sasa hivi wakristo wako kwenye mfungo wa siku 40 lakini hawalazimishi mtu kufunga pia sehemu za vyakula hawafungi kula hadharani ruksa wewe kula tu sababu kwenye kufunga Kikristo hutakiwi kujionyesha ukijionyesha onyesha mfungo unakuwa batili na sala zako zinakuwa batili.Na lazima kudhibiti matamanio yote mabaya kuanzia mawazo hadi vitendo waweza kuwa unauza chips kuku unauza na umefunga na mtu hajui kuwa umefunga.Ndio maana hata muda huu waislamu wengi hawajui kuwa Wakristo wako kwenye mfungo tena wa siku 40 sio siku chache 30 kama za waislamu
Sasa njoo mfungo wa Ramadhani kelele kibao ohh mimi nafunga ,usile mbele yangu na marufuku hoteli na sehemu za vyakula kufunguliwa mnatupa matamanio kufungua
Inabidi hadi nchi kama Zanzibar na nchi za kiislamu serikali itoe tamko kabisa mtu yeyote atakae uza chakula hadharani au kula atakiona cha mtema kuni kusaidia watu wafunge sababu uwezo wao wa kudhibiti matamanio ya kula urojo,chips kuku,pilau nk uko sifuri
Sasa mwanamke akionesha kapaja tu kidume cha kiislamu kadude kake kanainuka uwezo wa kudhibiti matamanio nyege zake hana hasa wanaume wa kiislamu sijui walitupiwa majini au nini? Hawana uwezo kabisa wa kudhibiti matamanio.Wakristo wako fit hata apite uchi mwanamke wanaume wanaona kichaa tu wanaendelea na mambo yao.Lakini waislamu utasikia Astakafilulah hata waweza mrushia mawe madude yao ndani ya kanzu yanainuka ghafla kama winchi ya kupakia mizigo bandarini wakati wenzao wakristo wala wabakuwa fresh tu
Biblia inatamka wazi Mathayo 6:16-18
[16]Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.
[17]Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso
[18]ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
KUFUNGA SIO MATANGAZO