Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Proud to be wako wapi kwenye huu Uzi jamani...?
Mzee said mohamed Shikamoo
Mzee said mohamed Shikamoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawadhubutu, ingeleta international incident ambayo ingesababisha wazungu kugomea kukanyaga zanzibar na utalii ungefia hapoWalivyo mazuzu wameogopa kuwacharaza viboko wazungu [emoji3][emoji3]
Wanatafuta kihalali kwenye biashara zao bakhresaa akuibie nini weweckapuku? huku hao wengine ndio wanasubiri hela za umma wapeww kila mwezi na serikali ndio wajenge hizo shule na hospitaliWanamkimbiza nani wewe lofa? Hao matajili wanao jilimbikizia mali wao binafsi kwa sababu ya ubaguzi wenu, wakristo wanajenga miundombinu ya kusaidia jamii ndio maana mahospitali makubwa, shule nzuri zipo huko na nyie na vikaptura vyenu na makobazi na mahijabu na majuba mnaenda kutibiwa huko kwa upendo na amani hiyo ndiyo dini ya kweli,dini gani mnapiga wenzenu eti kisa wanakula hiyo ni dini au takataka tu, nyie wafuga majini na mashetani na utajiri wa majini na mashetani kutwa ndio maana waislamu wanajazana kwa mwamposa kupunguza majini maana hadi yanawaelemea
Ni wapumbavu haswaWalipofunga wakristo kwaresma mbona wao walikuwa wanabugia vyakula vyao hakuna aliyekuwa anawaonea gere? Tusiwaendekeze hao wapumbavu tuwakabili
Sheria ipi ya nchi, embu niekimishe ni kifungu gani hapo zanzibar kinataka hivyo?Kula nyumbani kwako huguswi. Wakiristo wa Zanzibar wanajifanya kama siasa za Chama tawala na upinzani kwamba nitafanya maandamano hufanyi. Dawa yao ni hiyo tu ukila hadharani
Yani hii dini inazua migogoro kila mahaliKwani watalii nao wanatakiwa kufunga?
Yaan mtu alipe fees zote za utalii aje kushinda njaa huko visiwani?
Hii akili ya wapi ety???
Kula mchana mbele za watu halafu ndio utajua. Kuna sheria yoyote ya kukuzuia kuingia ikulu? Lkn jaribu kuingia utaona.Sheria ipi ya nchi, embu niekimishe ni kifungu gani hapo zanzibar kinataka hivyo?
Hivi kwa nini hawa watu hawataki kufuata sheria za wenzao?Kwani watu wakila hadharani wao wanapungukiwa nini? Hawa jamaa wana upumbavu wa milele!
Bado hujaiibu swali, unajibu blah blah tu. Najitaji kueleweshwa ni kifungu kipi cha sheria? Kwani wewe hukijui?Kula mchana mbele za watu halafu ndio utajua. Kuna sheria yoyote ya kukuzuia kuingia ikulu? Lkn jaribu kuingia utaona.
You know what!!! It's funny even by looking at it 🤣🤣🤣Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.
Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema kampuni hiyo ilikiuka miongozo na maagizo yaliyotolewa kwa wafanyabiashara wa utalii wakati huu wa mfungo wa Ramadhani.
''Toka kuanzishwa kwa kamisheni huo tunatoa notisi maalumu kwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani kuhusiana na suala hili'' alisema Bw.
Muongoza watalii wa kampuni hiyo, Khamis M. Kahogo pia amezuiliwa kufanya shughuli zozote za utalii kwa muda wa miezi mitatu," aliongeza kusema.
Kamisheni hiyo imesisitiza umuhimu wa kufuata desturi na mila za visiwa vya Zanziba hasa wakati huu wa mfungo wa Ramadhan.
Inawezekana hawachangii kwa sababu wameona ni nyuzi za kizuzu na wachangiaji ni mazuzu yaliyojaa chuki za kidini zilizopitiliza.Hahahha wamepotea kwa aibu hata hizi nyuzi hawachangii tena
"If you want to laugh, you'll laugh, but it's up to you whether you follow that path or not."You know what!!! It's funny even by looking at it 🤣🤣🤣
kwani ameambiwa afunge au asile hadharani? Hivyo ni vitu viwili tafautiKwani watalii nao wanatakiwa kufunga?
Yaan mtu alipe fees zote za utalii aje kushinda njaa huko visiwani?
Hii akili ya wapi ety???
Sio kweli mkuu jaribu kuweka utetezi na uhalali kwa yanayoendelea hapo znz .Inawezekana hawachangii kwa sababu wameona ni nyuzi za kizuzu na wachangiaji ni mazuzu yaliyojaa chuki za kidini zilizopitiliza.
Mazuzu yanayotetea katiba wasioielewa na kutoa irrelevant arguments na kuwakotia Aya za kitabu wasichokiamini wakiamini ni SI Book.