Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

Wanamkimbiza nani wewe lofa? Hao matajili wanao jilimbikizia mali wao binafsi kwa sababu ya ubaguzi wenu, wakristo wanajenga miundombinu ya kusaidia jamii ndio maana mahospitali makubwa, shule nzuri zipo huko na nyie na vikaptura vyenu na makobazi na mahijabu na majuba mnaenda kutibiwa huko kwa upendo na amani hiyo ndiyo dini ya kweli,dini gani mnapiga wenzenu eti kisa wanakula hiyo ni dini au takataka tu, nyie wafuga majini na mashetani na utajiri wa majini na mashetani kutwa ndio maana waislamu wanajazana kwa mwamposa kupunguza majini maana hadi yanawaelemea
Wanatafuta kihalali kwenye biashara zao bakhresaa akuibie nini weweckapuku? huku hao wengine ndio wanasubiri hela za umma wapeww kila mwezi na serikali ndio wajenge hizo shule na hospitali
 
Kula nyumbani kwako huguswi. Wakiristo wa Zanzibar wanajifanya kama siasa za Chama tawala na upinzani kwamba nitafanya maandamano hufanyi. Dawa yao ni hiyo tu ukila hadharani
Sheria ipi ya nchi, embu niekimishe ni kifungu gani hapo zanzibar kinataka hivyo?
 
Hawa wavaaa makobaziii wanadhani kubadili ratiba ya kula ni neema ya kuepusha na ufilanaji wao? Mbona hawakemeani?. Pumbavu zao
 
Ngoja tu mwezi wa kushinda njaa uishe waendelee Kufilana hawana akili majin wale.
 
Sheria ipi ya nchi, embu niekimishe ni kifungu gani hapo zanzibar kinataka hivyo?
Kula mchana mbele za watu halafu ndio utajua. Kuna sheria yoyote ya kukuzuia kuingia ikulu? Lkn jaribu kuingia utaona.
 
Kwani watu wakila hadharani wao wanapungukiwa nini? Hawa jamaa wana upumbavu wa milele!
Hivi kwa nini hawa watu hawataki kufuata sheria za wenzao?

Wewe umeenda nyumbani kwa mtu, kwa nini ugome kufuata sheria zake?

Mimi nashauri wanaokula mwezi wa ramadhani wanyongwe mpaka kufa.
 
Kula mchana mbele za watu halafu ndio utajua. Kuna sheria yoyote ya kukuzuia kuingia ikulu? Lkn jaribu kuingia utaona.
Bado hujaiibu swali, unajibu blah blah tu. Najitaji kueleweshwa ni kifungu kipi cha sheria? Kwani wewe hukijui?
 
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.

Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema kampuni hiyo ilikiuka miongozo na maagizo yaliyotolewa kwa wafanyabiashara wa utalii wakati huu wa mfungo wa Ramadhani.

''Toka kuanzishwa kwa kamisheni huo tunatoa notisi maalumu kwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani kuhusiana na suala hili'' alisema Bw.

Muongoza watalii wa kampuni hiyo, Khamis M. Kahogo pia amezuiliwa kufanya shughuli zozote za utalii kwa muda wa miezi mitatu," aliongeza kusema.

Kamisheni hiyo imesisitiza umuhimu wa kufuata desturi na mila za visiwa vya Zanziba hasa wakati huu wa mfungo wa Ramadhan.
You know what!!! It's funny even by looking at it 🤣🤣🤣
 
Hahahha wamepotea kwa aibu hata hizi nyuzi hawachangii tena
Inawezekana hawachangii kwa sababu wameona ni nyuzi za kizuzu na wachangiaji ni mazuzu yaliyojaa chuki za kidini zilizopitiliza.
Mazuzu yanayotetea katiba wasioielewa na kutoa irrelevant arguments na kuwakotia Aya za kitabu wasichokiamini wakiamini ni SI Book.
 
Kwani watalii nao wanatakiwa kufunga?

Yaan mtu alipe fees zote za utalii aje kushinda njaa huko visiwani?

Hii akili ya wapi ety???
kwani ameambiwa afunge au asile hadharani? Hivyo ni vitu viwili tafauti
 
Inawezekana hawachangii kwa sababu wameona ni nyuzi za kizuzu na wachangiaji ni mazuzu yaliyojaa chuki za kidini zilizopitiliza.
Mazuzu yanayotetea katiba wasioielewa na kutoa irrelevant arguments na kuwakotia Aya za kitabu wasichokiamini wakiamini ni SI Book.
Sio kweli mkuu jaribu kuweka utetezi na uhalali kwa yanayoendelea hapo znz .
Ni sawa kupiga mtu sababu amekula mchana ihali hajala usiku kama wewe
 
Back
Top Bottom