bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Wacha kusema uongo hakuna katiba iliovunjwa znz wana katiba yao wana sheria zao wana serikali yao znz ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu IMimi nashukuru safari hii polisi hawajatupiwa hilo zigo la kukamata hao watalii wazungu wala chakula mchana polisi chombo cha muungano kinachoongozwa na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Zigo lao wameamua wabebebe wenyewe v
badala ya kufanya polisi kama jalala la kutupa uchafu wao au devil hadi kupelekea Polisi Zanzibar wavunje katiba ya muungano
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.
Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema kampuni hiyo ilikiuka miongozo na maagizo yaliyotolewa kwa wafanyabiashara wa utalii wakati huu wa mfungo wa Ramadhani.
''Toka kuanzishwa kwa kamisheni huo tunatoa notisi maalumu kwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani kuhusiana na suala hili'' alisema Bw.
Muongoza watalii wa kampuni hiyo, Khamis M. Kahogo pia amezuiliwa kufanya shughuli zozote za utalii kwa muda wa miezi mitatu," aliongeza kusema.
Kamisheni hiyo imesisitiza umuhimu wa kufuata desturi na mila za visiwa vya Zanziba hasa wakati huu wa mfungo wa Ramadhan.
Wacha porojo hizo tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwaWaislamu uwezo wa kudhibiti matamanio mdogo mno wawe wanawake au wanaume ila kwa wanaume ni zaidi inabidi dunia itangaze kuwa matamanio ya wanaume wa kiislamu yako juu mno na ni janga la dunia
Wakristo uwezo wa kuhimili matamanio ni mkubwa kuliko waislamu
Mfano sasa hivi wakristo wako kwenye mfungo wa siku 40 lakini hawalazimishi mtu kufunga pia sehemu za vyakula hawafungi kula hadharani ruksa wewe kula tu sababu kwenye kufunga Kikristo hutakiwi kujionyesha ukijionyesha onyesha mfungo unakuwa batili na sala zako zinakuwa batili.Na lazima kudhibiti matamanio yote mabaya kuanzia mawazo hadi vitendo waweza kuwa unauza chips kuku unauza na umefunga na mtu hajui kuwa umefunga.Ndio maana hata muda huu waislamu wengi hawajui kuwa Wakristo wako kwenye mfungo tena wa siku 40 sio siku chache 30 kama za waislamu
Sasa njoo mfungo wa Ramadhani kelele kibao ohh mimi nafunga ,usile mbele yangu na marufuku hoteli na sehemu za vyakula kufunguliwa mnatupa matamanio kufungua
Inabidi hadi nchi kama Zanzibar na nchi za kiislamu serikali itoe tamko kabisa mtu yeyote atakae uza chakula hadharani au kula atakiona cha mtema kuni kusaidia watu wafunge sababu uwezo wao wa kudhibiti matamanio ya kula urojo,chips kuku,pilau nk uko sifuri
Sasa mwanamke akionesha kapaja tu kidume cha kiislamu kadude kake kanainuka uwezo wa kudhibiti matamanio nyege zake hana hasa wanaume wa kiislamu sijui walitupiwa majini au nini? Hawana uwezo kabisa wa kudhibiti matamanio.Wakristo wako fit hata apite uchi mwanamke wanaume wanaona kichaa tu wanaendelea na mambo yao.Lakini waislamu utasikia Astakafilulah hata waweza mrushia mawe madude yao ndani ya kanzu yanainuka ghafla kama winchi ya kupakia mizigo bandarini wakati wenzao wakristo wala wabakuwa fresh tu
Biblia inatamka wazi Mathayo 6:16-18
[16]Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.
[17]Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso
[18]ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi.
KUFUNGA SIO MATANGAZO
Tena kweli,, Nenda Iraq Huko wanauana tuuu... Wanavaa kininjaJirani kaamua kushinda na njaa kwa hiari yake,ila anataka na majirani tusile,hizi dini kuna namna tunapaswa kuwa nazo makini.HAWA DINI YAO hata wakibaki wao duniani bado watajitoa muhanga.
Dini ujingaWacha porojo hizo tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika hizo sheria zipo kabla wewe hujazaliwa
Umelazimishwa kitu gani? Kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani na hiyo sheria ipo znz toka wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyikaWaislamu na uislamu ni dini ya kulazimisha, mshangao hawalazimishi maendeleo
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sanaWaislamu dini yao ni ya kinafiki, ya kujionesha. Kimsingi funga ya kweli ni ile ambayo hata mwenzako hawezi kuijua km umefunga. Dini ya maonesho hiyo.
Hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika ujinga ni mzigo pole sanaMakobazi ni wanafiki hata lucifer ana nafuu. Kwa nje wanaonekana wamependeza na kung'aa ila ndani ni mifupa mikavu. Mungu awarehemu na kuwasaidia sana.
Hii dini hii sijui ilianzishwa na kiumbe gani!! Wanafunga mchana ili wale Usiku Kucha sisi tukiwa tumelala!! Funga ni yako, Dini ni yako na Thawabu kama kweli zipo ni zako sasa nongwa ya nini??Imani na na matendo ya imani kwa Mungu wa kweli haihitaji kutumia nguvu za kimwili. Kufunga kwa ajili ya mambo ya kiroho kunahitajika imani na uvumilivu. Ni kujizuia kula kwa muda uliopanga wewe binfsi au kupangwa na dini au madhehebu yako. Haijalishi utakiona chakula mbele yako au utamwona mtu akila mbele yako. Wala hutakiwi kumshutumu au kumlaumu anayekula, kwani yeye hiyo funga haimhusu, inakusuhu wewe. Unachotakiwa ni kuonyesha ukomavu wako wa imani, kwamba pamoja na kusikia harufu nzuri ya chakula au kukiona chakula mbele yako, kamwe hutashawishika kutamani kula. Unatakiwa ushinde hilo jaribu.
Mimi nikiamua kufunga hamu ya chakula huwa inapotea kabisa, hata nikimwona mtu anakula siwezi kukwazika au kutamani kula kwa namna yoyote hadi nimalize funga yangu.
Polisi zanzibar wamevunja kutozingatia katiba ya muungano na PGO ya jeshi la polisi la muunganoWacha kusema uongo hakuna katiba iliovunjwa znz wana katiba yao wana sheria zao wana serikali yao znz ni kosa la jinai kula hadharani mchana wa Ramadhani tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu I
Kazi kweli kweli..Kamisheni ya Utalii Zanzibar imethibitisha kuipiga faini ya dola 500 kampuni ya utalii ya Organisateur Francophone Tours and Travel kwa kuruhusu watalii kula hadharani katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.
Katika taarifa Afisa wa Uhusiano wa Tume ya Utalii Zanzibar Mohamed Nassor Bajuni alisema kampuni hiyo ilikiuka miongozo na maagizo yaliyotolewa kwa wafanyabiashara wa utalii wakati huu wa mfungo wa Ramadhani.
''Toka kuanzishwa kwa kamisheni huo tunatoa notisi maalumu kwa kipindi cha mwezi wa Ramadhani kuhusiana na suala hili'' alisema Bw.
Muongoza watalii wa kampuni hiyo, Khamis M. Kahogo pia amezuiliwa kufanya shughuli zozote za utalii kwa muda wa miezi mitatu," aliongeza kusema.
Kamisheni hiyo imesisitiza umuhimu wa kufuata desturi na mila za visiwa vya Zanziba hasa wakati huu wa mfungo wa Ramadhan.
Nenda ukabirikiweImesimama njoo ukalie
Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui karibu sana znzHizo sheria ni kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar au kuruani?
Kama ni katiba nielimishe...
Kama mumezitoa kitabu kitakatifu nahitaji elimu pia...
Kama hamkuzitoa huko nataka kujua nyinyi ni waislam safi kuliko Saudia au Dubai?
SahihiWaislamu na uislamu ni dini ya kulazimisha, mshangao hawalazimishi maendeleo
Mjinga ni wewe sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sanaDini ujinga