Kampuni ya utalii yapigwa faini kwa kuwaruhusu Watalii kula hadharani Zanzibar

RlP hell shujaa fake WA wanyonge...kwakujipatia 2015 mwenza kutoka Omani ili ujipatie Kula za wakina mama wajinga
 
Umelazimishwa kitu gani? Kilichokatazwa ni kula hadharani mchana wa Ramadhani na hiyo sheria ipo znz toka wewe hujazaliwa tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu tanganyika
Na hii Sheria ipo tangu wakati wa ukoloni.
Ukikutwa na hatia jela mwaka moja.
Babayao Muingereza kama aliona hii ni sheria mbaya asingeiruhusu.
Lakini mpaka anakabidhi uhuru wa nchi ya Zanzibar hapo 10/12/1963 aliicha kama ilivyo.
 
Sio kweli mkuu jaribu kuweka utetezi na uhalali kwa yanayoendelea hapo znz .
Ni sawa kupiga mtu sababu amekula mchana ihali hajala usiku kama wewe
Kupiga watu hiyo sio sawa, siungi mkono maana haipo kisheria.
Sheria inataka mtu apelekwe mahakamani, akikutwa na hatia chuo cha mafunzo mvua (mwaka) moja.
 
Kupiga watu hiyo sio sawa, siungi mkono maana haipo kisheria.
Sheria inataka mtu apelekwe mahakamani, akikutwa na hatia chuo cha mafunzo mvua (mwaka) moja.
Apelekwe mahakamani kwa kula...
Umetumia kitu gani kwani kwenye kula daku mnakunywa na pombe???
 
Wanatafuta kihalali kwenye biashara zao bakhresaa akuibie nini weweckapuku? huku hao wengine ndio wanasubiri hela za umma wapeww kila mwezi na serikali ndio wajenge hizo shule na hospitali
Unajivunia utajiri wa mtu binafsi we kweli mavi
 
Watalii wanakuja kula Pasaka wanapigwa Faini🤔 au hii Nchi imeshanunuliwa na Iran?
 
Naona shehe ubwabwa ume furahia kweli kweli hii taaarifa
 
Wakiristo
Naona shehe ubwabwa ume furahia kweli kweli hii taaarifa
Wewe kafiri ugali naona umekasirika. Mikwaju tu ukila mchana mbele ya watu. Ushindani fanyeni ktk siasa. Ukija swala la dini upuuzi unauacha pembeni. Mbona waislam hawakuungilini j2 au Jumamosi siku ya ibada kwenu na wao hawaendi kazini serekalini?
 
Aisee hapo Unguja pameharibika.
 
Kweli we ndiyo kafiri sugu,hao wavaa kobaz ujinga wanaofanya unasapoti badala ya kuwakemea.
 
Your browser is not able to display this video.

👆Na hawa Wazanzibari walioko Uarabuni wanaozuiwa kula Futari mpaka wenye Dini yao wafuturu Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaongeleaje?
 
zanzibar itoe angalizo kwa makampuni ya utalii kuwa wakati wa mwezi wa ramadhan watalii hawaruhusiwi kutembelea zanzibar
 
Wanajifanya wacha Mungu wakati zanzibar ndiyo inaongoza kwa ushoga hapa Africa Mashariki.
 
Bila kuathiri mjadala wenu naomba kupinga hoja yako. Kuna waarabu ambao ndo matajiri unaowazungumzia. Utajiri wao hautokani na Imani yao. Na pia sio kipimo cha akili. Top ten za form four na form six zimejaa watu gani? Tuseme pia dini zao zinachangia? Form four Zanzibar matokeo hufananaje ikiwa dini zinachangia akili ya mtu?
Mwisho dini haina uhusiano unaotaka kutuaminisha.
 
Hivi kwa nini hawa watu hawataki kufuata sheria za wenzao?

Wewe umeenda nyumbani kwa mtu, kwa nini ugome kufuata sheria zake?

Mimi nashauri wanaokula mwezi wa ramadhani wanyongwe mpaka kufa.
Na wanaofunga London, Stockholm, St. Petersburg, China, India na Brazil wanyongwe pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…