dinongo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 814
- 1,054
Nenda kazikwe nae huyo mungu wenu,Haihitaji degree kuliona hilo huyu mwamba wanataka kumnyang'anya tender ili waweke mtu wao ambaye watakula 1O% yao kila mgao ukitoka ku fund ujenzi.
Hilo zengwe ni kubadili timu ya fisi tu 😁😁😁 kama walivyobadili kwenye ishu ya vichwa vya treni kwa kisingizio kuwa alieagizwa alishindwa kuvileta kwa wakati.
R.I.p Magufuli yani sahizi wataelewa kuwa waliokuwa wanamkwamisha ni wapiga madili.