Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Kampuni za mabasi zilizotamba na kupotea

Scandinavia (Dar)
Metro (Dar)
Sumry (Sumbawanga)
Mohamed Trans (Shinyanga)
Hood (Morogoro)
Sabco (Moro)
Islam (Moro)
Sadick Bus (Moro)
Lupelo Inv. (Iringa)
Super Service (Singida)
Super Star (Dodoma)
Matema Beach (Mbeya)
Kiswele (Songea)
Zafanana (Korogwe)
Air Msae
Blue Ship
Amiti
Wifi Nae
Central Line

Hawa wawekezaji walikwama wapi, mbona kama walikuwa na Mitaji mikubwa, saivi kuna kampuni mpya tena ndogo na zinapambana hatari.

Ongeza unazozijua
Hekima
Akidas Original

Sent using Jamii Forums mobile app
 
keshapotea karudi kwenye kilimo, kuna kipindi aliyojiwa na Ayo TV akasema kapumzika kwanza
Yap mzee kaingia kwenye kilimo ana Hector za kutosha na zana za kisasa za kilimo ,za kulima hadi kuvuna .

Ile Kashi Kashi ya kutouza mahindi nje ilimsumbua kidogo maana anazalisha kwa wingi sana huko swax

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom