Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
Kidato cha sita si washamaliza shule kwa kufanya pepa la acsee?..
Shule gani hiyo yenye wanafunzi wa kidato cha sita kwa sasa?
Hakunaga kitu kama icho chief. Kuwa mzaziKwanza tuanzie hapa mtoto anasemaje, ukute ukuni umemkolea na kataka mwenyewe ww unaangaika tulia utakufa kabla ya Siku zako.
Ukimpeleka polisi mtoto akisema mimi nataka utafanya nn, sidhani kama uyo mwamba kamfungia mwanao ndani
[emoji23][emoji23]ukikosa haki serikalini kuna utaipata mtaani. learn the art of street justice.
take him down.
Hujui nguvu ya hela na nguvu ya Giza mkuuDah pole sana mkuu lakin pia najiuliza binti yenu akiwa form six anashindwa kujitambua kweli na kuwaonea huruma ninyi wazazi wake akubali kuakatishwa masomo
We unaonaje kwaniIla ukimwi fresh tu?
Ila kweli..mwanafunzi anayependa shule huwa anaonekana tu...! 😀! Muda wote anawaza kusoma..sijui lkinMama kama jamaa ana maisha mazuri mwache tu mtoto wako jifanye kama hujui ,navyomfikiria huyo mtoto wako hana uwezo wa kufika mahali kielimu bora aanze maisha tu na dingii
Tayari mkuuNitumie namba zake PM nidili naye huyo khanithi.
Anasema hakuna wa kumfanya kitu,subiri atajamba cheche very soon!
You are correctKama hii si Chai basi mzee anajivunia Uchawi
Hata Kama mtoto anataka,kwa kuwa ni mwanafunzi na kama bado Ni minor sheria itafuata mkondo wake sahihi.Kwanza tuanzie hapa mtoto anasemaje, ukute ukuni umemkolea na kataka mwenyewe ww unaangaika tulia utakufa kabla ya Siku zako.
Ukimpeleka polisi mtoto akisema mimi nataka utafanya nn, sidhani kama uyo mwamba kamfungia mwanao ndani
Mama naona kuna mambo mengi unaficha Wa sukuma mna tabia ya kuchukua mali za watu arafu mnageuka mkishinda kugawana hiyo mali, unatelekeza mtoto akiolewa unajitokeza kudai eti katoroshwa, huenda hata huyu bint kakaa zaidi ya miaka miwili bila kusoma kwa kukosa msaada wa elimu,Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa.
Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya chochote hata twende wapi hawezi kukamatwa.
Mimi mama yake ni mgonjwa nahudhuria dialysis Bugando maana mie ni mgonjwa wa figo.
Katumia udhaifu wangu kunifanyia hivyo. Nina imani na Serikali iliyoko madarakani na wapigania haki popote walipo kuwa watanisaidia.
Mimi niko Mwanza
Namba yangu ya Simu ni 0745 317 ***
Jina langu ni Sekunda
Binti yangu ni Ph***
Aliyemuachisha shule anaitwa Razaro
Namba yake ya simu ni 0757262*** na yuko hapa hapa Mwanza
Naomba serikali ioneshe kwamba ipo. Katika utawala huu nina imani mama atatupigania.
Huyo hajakatishwa masomo. Kaacha shule, kwa hiari yake!!Dah pole sana mkuu lakin pia najiuliza binti yenu akiwa form six anashindwa kujitambua kweli na kuwaonea huruma ninyi wazazi wake akubali kuakatishwa masomo