Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

Sabaya alinywea itakuwa huyo mzee?
Ila mwanao darasani zimo za kutosha? Usijekuta mtu anajijua ni wa kufeli so ndoa ndio pona pona yake
😹😹
 
Chukua mahari ule mama yangu. Kwani binti katekwa?. Narudia patana na huyo baba ule pesa mapema. Huyo binti yako ni kichomi atakuchoma. Labda uwe muhaya maana wahaya kwa kupenda kesi hawajambo.
 
Umeandika namba nusu,sasa utasaidiwaje?
polisi wa humu jf wangempigia na kumuita kituo kilicho karibu naye ili kuchukuliwa hatua stahiki.
 
Chukua mahari ule mama yangu. Kwani binti katekwa?. Narudia patana na huyo baba ule pesa mapema. Huyo binti yako ni kichomi atakuchoma. Labda uwe muhaya maana wahaya kwa kupenda kesi hawajambo.
Au mpare, wanapenda kesi acha
 
kwa kidato cha sita unaweza ukawa unajisumbua
utamtoa kwa huyo mzee atakutoroka atarudi tena huko
chukua mahari muache maisha yamfundishe
 
Njoo PM mama
 
Wala usiangahike, kwa maana support yote anapata kwa mwanao ndiyo maana anakua na jeuri...

Mwanao ni mjinga sana, mtoto umlieavyo ndivyo akuavyo...
 
Hii ni kweli au utani?
Ukute binti mwenyewe Ndio kataka kuolewa
 
Acheni binti achezee ukuni na afaidi mema ya nchi, shule kitu gani na huku mnasema mtaani 'KAZI' hakuna!

To each, their own.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…