Kamusi ya kichaga cha Marangu kwenda kiswahili

Kichaga kinanishangaza sana wenzetu wanajua ni lugha moja ila kichaga ukiingia ndani yake unakutana na vichaga vingi

Kibosho wana chao
Machame wana chao
Uru wana chao
Marangu wana chao
Rombo wana chao

Apo sijazungumzia hawa wa katikati kama masama ,kidia,kirua,mbokomu,sanya nk.

Vinatofautiana mno ukute kufanana ni maneno machache sana.

Hawa watu ukiwaweka sehemu moja salamu tuu zao watakushangaza.

Salamu+ matumizi ya mbe na mae

Wengine mae ni mwanamke wengine mae ni mwanaume hapa ngumi mkononi 😁🙌
 
Vinstofautiana mno ukute kufanana ni maneno machache sana.

Hawa watu ukiwaweka sehemu moja salamu tuu zao watakushangaza.

Salamu+ matumizi ya mbe na mae

Wengine mae ni mwanamke wengine mae ni mwanaume hapa ngumi mkononi 😁🙌
Hao warombo tu pia wana lahaja tofauti zaidi ya tatu.
 
Kichaga kinanishangaza sana wenzetu wanajua ni lugha moja ila kichaga ukiingia ndani yake unakutana na vichaga vingi

Kibosho wana chao
Machame wana chao
Uru wana chao
Marangu wana chao
Rombo wana chao

Apo sijazungumzia hawa wa katikati kama masama ,kidia,kirua,mbokomu,sanya nk.

Vinatofautiana mno ukute kufanana ni maneno machache sana.

Hawa watu ukiwaweka sehemu moja salamu tuu zao watakushangaza.

Salamu+ matumizi ya mbe na mae

Wengine mae ni mwanamke wengine mae ni mwanaume hapa ngumi mkononi 😁🙌
Mae inatumika wapi kama mwanaume?

Najua kibosho "mbe" inatumika nadhani kwa mtoto wa kwanza nadhani hata akiwa wakike.

min -me sijui nipo sawa hapo mnama, nirekebishe kama nimekosea.

Ila kivunjo "mbe" ni mwanaume.
 
Back
Top Bottom