Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iketi u?Ngikelaho Chaliifrancisco
Hapa umeniacha kidogo labda hili neno silijuiIketi u?
Kwa eneo la Tarakea mnaongea kiswahili chenu ChaHio accent ya kichaga sina
😂😂😂Ila sasa sitaki hio accent sio lazima kkla mtu ajue Mimi mchagaKwa eneo la Tarakea mnaongea kiswahili chenu Cha
Wee kaakaa 😂
Basi Mimi naipenda japo nimekulia uchagani sina lafudhi ile exactly...😂😂😂Ila sasa sitaki hio accent sio lazima kkla mtu ajue Mimi mchaga
😊AiseeeBasi Mimi naipenda japo nimekulia uchagani sina lafudhi ile exactly...
Yaaan chaliiiy ntakuzngua ujue 😂
Aseeh mm popote lazima niseme Mimi ni meku moja👊😝
Hivi kusafirisha parcel mpka hapo Tarakea toka dsm ni shngp ? 😂😊Aiseee
Utakuwa mweupe😹
Wachaga wengi weupe😆
Hahaha mweupe Tena 😂....😊Aiseee
Utakuwa mweupe😹
Wachaga wengi weupe😆
Acha kukwepa mada !😂Hivi kusafirisha parcel mpka hapo Tarakea toka dsm ni shngp ? 😂
😹😹Nimepatia aiseeeHahaha mweupe Tena 😂....
Umelenga mule mule
Marangu ipi maake hata huko Rombo Kuna marangu pia ?
Marangu mtoni sipo familiar napitaga nikiwa naenda kwetu Tarakea....Marangu Mtoni kitu kama hicho.
Mboro ipo nadhani pia ndio hao mbore na mbowe pia munisi ndio hawa kina nkya nadhani mushi na moshi ni sawa pia.Pamoja sana mnama.
Huko kuna historia za kustaajabisha sana za koo za kichagga, utajua kwanini mfano unakuta kuna Mushi wa Uru, Kibosho, Kirua na Marangu. Utajua kwanini kuna Mushi, Munisi, Munishi, Mosha, Moshi, Chaki, Mchaki na utajua ukoo wa Mboro uliishia wapi.
Pia utazijua koo za kichagga ambazo sio maarufu na wengi hawazijui kama Chacky, Tillya n.k
hapo kwenye Mbatu sio Tumbaku mkuu?Kichaga cha kimarangu ni rahisi sana;
Numba- nyumba
Simu - simu
Pikipiki - pikipiki
Mlango - mlango
Umeme - umeme
Taa - taa
Yako - yangu
Mburu - mbuzi
Umbe - ng'ombe
Nguku - kuku
Mayai - mayai
Sufuria - sufuria/safria
Pakuri - bakuli
Sahanyi - sahani
Kilyiko - kijiko
Shiombo - vyombo
Kilasi - glasi
Soda - soda
Bia - bia
Mbekye - mbege
Nyo - kunywa
Ria - kunywa kidogo
Ruma - tuma/agiza
Eleri - hela
Wasungu - wazungu (watu)
Wandu - watu
Warumu - shetani
Ruwa - mungu
Fuma - toka
Seiya - pisha
Ngileka - niache
Enda - nenda
Gari - igari/ikari
Wara - shika
Tema - cheza
Shaa - koma
Siku - siku
Rina - jina
Lyapfo - lako
Naacho - nani
Papa/Auyo - baba/baba yako
Mama/womoo - mama/mama yako
Shangazi - shangazi
Mjomba - mjomba
Msacha - kaka
Mshikyi - dada
Mka - mke
Mii - mume
Mleu - jamaa/chalii
Loi - kweli
Wongo - uongo
Terewa - omba
Kunda -penda
Lamba - kula mzigo
Mbatu - k
Shinga - funga
Pfunguo - fungua
Rosa - pandisha
Sotsa - shusha
Msiko - mzigo
Alyika - oa
Kapa - piga
Lekia - achia
Laa - lala
Amka - amka
Njaa - njaa
Lya - kula
Kelya - chakula
Nyama - nyama
Mchele - wali
Soko - maharage
Pakado - parachichi
Iembe - embe
Maruhu - ndizi
Mringa - maji
Moro - moto
Mbeo - baridi
Kitara - kitanda
Ikondoro - godoro
Mesa - meza
Kitima - kiti
iKoochi - kochi
Kabatini - kabatini
Kite - mbwa
Iyo - wewe
Marisa - maliza
Ngachoka - nimechoka
Kapisa - kabisa
ugoro si ndio tumbaku?Mbatu - ugoro
Mbatu - k
Mboru - umbea