Kamwaga atembelea Ubalozi wa Cuba kuhakiki bei ya Gesi

Huyu jamaa aliwahi kwenda kuangalia wakulima wanavyoteswa na bei za hao fisiem na wanunuzi ni hao hao fisiem na mashamba ya miwa anajua kilio kilichopelekwa huko na mtandao kushusha bei!!?Hapa ndio ujue tuna waandishi wa fisiem
 
Kwenye maelezo yote ya Polepole kachukua la mtungi wa gesi tu!??.., si aende Msoga kwa JK amuhoji huku akijirekodi amuulize kama yeye na Rostam walishiriki kumtanguliza JPM, tuone kama atabaki salama😂
Ongezea pia :
Akamuhoji dpp pia - Kwa nini kundi la wana mtandao hawajakamatwa na kushtakiwa Kwa uhaini na uhujumu uchumi hadi sasa ?
 
Aliye karibu na Kamwaga anisaidie kumuuuliza :-
1. Je wakati juzi anamjibu Pole Pole hakuona umuhimu wa kufanya utafiti kwanza kabla kurukia kujibu hiyo hoja?
2. Je kwa vyovyote vile akikuta hiyo bei ni sawa au si sawa haoni kama amethibitisha pasi na shaka kuwa yeye ni mkurupukaji kwa sababu alikimbilia kujibu kitu asichokijua, wala kuwa na uhakika nacho na wala hakuwa na "data"?
3. Je vipi akikuta hiyo bei ipo kama alivyosema Pole Pole atakuja hadharani na hivyo vyombo vya habari vilivyomsindikiza Ubalozini na kukiri kuwa alikurupuka?

Kamwaga kama Kamwaga aliyekuwa msemaji wa Simba na mwandishi mahiri wa habari sijui kakumbwa na nini sasa hivi.

Maswali ni mengi sana lakini naomba niishie tu hapa kwa sasa.
 
Huyu ataambiwa bei rasmi LPG 10Kg ni 225 CUP. Asitegemee kabisa Balozi kukiri changamoto upatikanaji wa gesi na kushamiri blackmarket/soko magendo la LPG
 
Ni punguani tu ataeamini kua mtungi wa gesi ni buku 2.
 
La gas likiwa uwongo basi tutajua na la magu kupuliziwa sumu kiwandani morogoro na kufa yeye ni uwongo pia,kwa hiyo tutampuuza polepole
Kamwaga ni kijana wa wana mtandao kwa hiyo tunajua alizoea kutumia kalamu miaka ile kwenye magazeti ya Rostam sasa anachoshidwa kuelewa huwezi kutumia jia ile ile miaka yote kufanikisha propaganda atafute njia nyingine bwana tumbo tumbo Kamwaga
 
Mpango wa kusambaza mabomba ya gesi majumbani ulikufia wapi??
Piped Natural Gas ni best case scenario ila kwa nchi kama yetu ni Piped Dream; nchi yenye nyumba squatter, nchi ambayo kutengeneza tu uchochoro kufikia kila nyumba umetushinda kuweza kuweka miundombinu ya kufikia kila Kaya na Slums nadhani ni Project kubwa ambayo hatuwezi kuifanya kwa sasa...; Pili itabidi apatikane muwekezaji ili asimamie na mwisho wa siku apate faida hence kufanya bei ipande....

Best scenario kuliko kuwa na Wasambazaji tofauti wa Gesi na Umeme kwanini tusitumie umeme ambayo mpaka dakika hii zaidi ya asilimia 90 wameunganishwa (wana waya / plug inaingiza majumbani mwao hata wenye vibanda vya mbavu za Mbwa) ? Na badala ya kusambaza mabomba kila nyumba yasambazwe sehemu moja to mpaka kwenye kufua umeme ili gesi hii tuibadilishe na kuwa electrons zisambae kwenye nyaya / waya mpaka kila nyumba na vijumba....

 
Ubalozi upo chini ya nani,unamtumikia nani Kwa faida ya Nini. Sisi tupo na Polepole hata msemeje,sham govoo
 
Kwa hiyo mwanzoni alitoa taarifa za uongo?
 
Kwenye utekaji mishavu yote chini hatuoni kufuatilia kuuliza huko kwabwenye mamlaka
 
Watanzania mnapigwa na WAHUNI sio kwenye gesi tu. Kwenye mafuta, umeme, vocha, internet, madawa na mengine yote yanayogusa watu wengi kwa wakati mmoja.

WAHUNI HAWANA UTU.
 
Anaitaka nafasi aliyoikataa Slowslow na sii vinginevyo,ikiwa nimekosea anatenda ya kusaka nyendo za slowslow!
 
Sii tiketi ya kuukwaa ubalozi alioutelekeza slowslow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…