Kamwe usithubutu kutafuta maisha mikoani, utakosa hadi nauli ya kurudi Dar!

Upo sahihi 100% Ila wapo vichwapazi watakaokupinga truth be told huo ndio ukweli, watu wengi unaowajua waliotoboa wametobolea Dar sio mikoani
 
100% ukweli ni huo Ila wasiojua hilo hawajui,
 
kwahiyo wale woote wanao chimba madini Kahama, Chunya Makongorosi, Nzega, Katavi na kwingineko ..wote ni wapumbavu na makenge, kama wewe?
 
Mtoa mada inaonekana hujawahi kufika hata kwa, matias
Ebwana nna ndugu yangu alitaka kwenda kuanza Maisha hapo ilimchukua Mwaka tu kurudisha mpira kwa kipa sasa yupo Dar kapata kazi nzuri Maisha si haba,
 
kwahiyo wale woote wanao chimba madini Kahama, Chunya Makongorosi, Nzega, Katavi na kwingineko ..wote ni wapumbavu na makenge, kama wewe?
Wamejenga Dar na wakishavuna Pesa huko Bata zao ni Dar, kawaulize watakwambia
 
Karibu Sana MBEYA hapo kwenu uyaKHEE niliukimbia ni miaka 21 nilikuwa hapo.

Vipi tuwaletee nin breakfast yenu mihogo,mahind,maharage,ndizi au chakula chenu cha CHAMTUME😀😀😀🤣?
ahsante bro Mwaikambo,puguzeni kubebana kimajinq
 
Ebwana nna ndugu yangu alitaka kwenda kuanza Maisha hapo ilimchukua Mwaka tu kurudisha mpira kwa kipa sasa yupo Dar kapata kazi nzuri Maisha si haba,
hongera kwake huyo dogo, na hii ndio dar ya watanzania wote. haina ukanda ama unaitwa nani,yeyote anatusua
 
Wamejenga Dar na wakishavuna Pesa huko Bata zao ni Dar, kawaulize watakwambia
Wee uzi wako umesema kutafuta maisha mkoani au kuishi mkoani? tuanzie hapo kwanza kubishana.
 
Bilionea Laizer katajirikia kijijini Simanjiro

Watu wanakimbia kijijini wanakufa malofa mjini

Yeye kijijini kaibuka bilionea

Ukiwa na pepo la umaskini hata uende ulaya au Marekani utakufa lofa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…