Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Pakistan yupo vizuri jet fighter za kisasa ana nuke bombs
Ebu acheni mambo ya kusema nchi fulani ina nukes kwani hakuna nchi sasa hivi inayoweza kutumia hizo nukes halafu yenyewe ikabaki salama hivyo kuwa na nyuklia ni vitisho tu na ni njia ya kujilinda zaidi.
 
Yesu ni Mungu soma yohana 1:14
John 1:14
New International Version
14 The Word became flesh and made his dwelling among us. We have seen his glory, the glory of the one and only Son, who came from the Father, full of grace and truth.
***************************************"******
👆Wapi ilipo andikwa kwamba Yesu ni Mungu. Acheni kuropoka ni vema kila moja adili na msaafu wake na kuacha kuchuuza umbeya.
 
wakikataa wanawaua,mbona wahindu ni wengi kuliko waislam na waislam walitawala hapo kwa zaidi ya Karne!?
Broo I've already told you they faced resistance from the hindus, Hindu is not a Abrahmic religion and even after hundreds of years of barbaric Islamic invasion they were not able to convert majority in India. They faced non-stop resistance from Hindus. This is the depiction of the Haldighati battle where Maharana Rana Pratap vertically cut Mughal commander Behlol Khan into 2 pieces along with his helmet, armour and horse.
I quote from a hindu;
"They hate this blood, they envy this power, and they hate our Dharma."
Screenshot_20240110_173757_X.jpg

Karne!?..uwe unachambua mambo,siyo unabugia tu kisa chuki zako kwa uislam
You want to accuse me of islamophobia, I don't give a f*ck brother😅 you can say whatever you want, I don't care I will always speak the truth.
ISLAMOPHOBIA IS A BULLSH*T TERM INVENTED TO VILIFY AND SILENCE ANYONE BEING HONEST ABOUT MANKIND'S MOST VIOLENT SUPREMACIST CULTURE.
 
John 1:14
New International Version
14 The Word became flesh and made his dwelling among us. We have seen his glory, the glory of the one and only Son, who came from the Father, full of grace and truth.
***************************************"******
👆Wapi ilipo andikwa kwamba Yesu ni Mungu. Acheni kuropoka ni vema kila moja adili na msaafu wake na kuacha kuchuuza umbeya.
Naye neno alivaa mwili akaja kwetu nasi tumeuona utukufu wake. Soma msitari wa kwanza na pili. Neno aliyetajwa ni Yesu na huyo neno alikuwa mungu mwenyewee. Na huyo yesu ambaye ni Mungu mwenyewe atakuhukumu siku ya mwishoo.

Soma isaya 9:6-7 mtoto huyo aliye zaliwa ni mungu mwenyenguvu baba wa milelee.

Karibu kwa yesu uokoke sio kwa yule jamaa aliekua anafanya mapenzi na tumabinti twa miaka tisaa
 
Broo I've already told you they faced resistance from the hindus, Hindus it is not Abrahmic religion and even after hundreds of years of barbaric Islamic invasion they were not able to convert majority in India. They faced non-stop resistance from Hindus. This is the depiction of the Haldighati battle where Maharana Rana Pratap vertically cut Mughal commander Behlol Khan into 2 pieces along with his helmet, armour and horse.
I quote from a hindu;
"They hate this blood, they envy this power, and they hate our Dharma."
View attachment 2875568

You can't to accuse me of islamophobia, I don't give a f*ck brother😅 you can say whatever you want, I don't care I will always speak the truth.
ISLAMOPHOBIA IS A BULLSH*T TERM INVENTED TO VILIFY AND SILENCE ANYONE BEING HONEST ABOUT MANKIND'S MOST VIOLENT SUPREMACIST CULTURE.
Indian Hindus did and still convert to Islam
 
Naye neno alivaa mwili akaja kwetu nasi tumeuona utukufu wake. Soma msitari wa kwanza na pili. Neno aliyetajwa ni Yesu na huyo neno alikuwa mungu mwenyewee. Na huyo yesu ambaye ni Mungu mwenyewe atakuhukumu siku ya mwishoo.

Soma isaya 9:6-7 mtoto huyo aliye zaliwa ni mungu mwenyenguvu baba wa milelee.

Karibu kwa yesu uokoke sio kwa yule jamaa aliekua anafanya mapenzi na tumabinti twa miaka tisaa
Biblia inasema yote,kuwa yesu ni Mungu na mwana wa Mungu pia,ndiyo maana wazungu wameachana na dini maana bible ni kizungumkuti
 
Ebu acheni mambo ya kusema nchi fulani ina nukes kwani hakuna nchi sasa hivi inayoweza kutumia hizo nukes halafu yenyewe ikabaki salama hivyo kuwa na nyuklia ni vitisho tu na ni njia ya kujilinda zaidi.
Hata hivyo pakistan yupo vizuri ana F 16 pia china inamuuzia ndege zake za kizazi cha tano .Wakati Iran ana ndege za miaka ya sabinializoachiwa na marekani kabla ya mapinduzi ya Kiislam 1979. N kama makombola pakistani ni mjuzi
 
Iran wakijibu basi hii itaelekea kuwa vita kamili. Iran akijichanganya akaingia kwenye vita na pakstan nadhan US anaisubiri hiyo kama opportunity ya kuangusha utawala wa Iran.
Naona mwaka huu tutashuhudia sana vita
Tunasemaga humu ndani US ni kitu kingine kabisa, sasa hivi anapigana Ukraine, anapiga drills Taiwan if mchina akijichanganya, bado yupo Black sea akiwa na Israel, na bado ana hamu na Iran.

Hakuna mwanaume mwenye huu ubavu wa kusimama namna hii.
 
Biblia inasema yote,kuwa yesu ni Mungu na mwana wa Mungu pia,ndiyo maana wazungu wameachana na dini maana bible ni kizungumkuti
Bibulia sio kwa ajiri ya wazungu. Wazungu wanamhitaji Yesu. Hata kama kizazi chochote kitamukataa Yesu kijue huku iko pale palee. Kana imani moja tapeli wanamfananisha eti yesu ni nabiii wakawaida na kumuita jina lake kwa watoto wake.yaani wana ole kubwa kwakuwa wamelikataaa jina pekee la Munguu. Nawatahadharisha tuu kwamba kurudi kwake mwana wa adamu kumekaribia na anakuja kuhukumu kila mtu kwa matendo yake. Okokeni mwaminini Yesu sio hao wenginee. Yesu yu mlangoniii.
 
US and Israel will join Pakistan to strike Iran, kama hamuamini, subiri muone, Iran ijiandae au ikae kimya, hii ni plan tayari ya kuitafuta Iran, sbb issue ilikuwa kupata location au eneo la kuweka silaha za US and Israel ili waichape Iran, hapo ujanja ni Iran kukaa kimya, akijibu mashambulizi, anaenda kupigwa vibaya
 
Hakuna aliyekufa ila huyu jamaa pichani ndo aliyepata majeraha

Iran ikiamua kuichapa Pakistan nawa akikishia ndani ya wiki tu Pakistan itachakazwa vibayae mno
View attachment 2875136
Pakistan ni miongoni mwanchi zinazomiliki silaha za nuclear wakati Iran hana hizo silaha. Pakistan sio Iraq hao wapo vizur walishamkung'uta mpaka india
 
Tunasemaga humu ndani US ni kitu kingine kabisa, sasa hivi anapigana Ukraine, anapiga drills Taiwan if mchina akijichanganya, bado yupo Black sea akiwa na Israel, na bado ana hamu na Iran.

Hakuna mwanaume mwenye huu ubavu wa kusimama namna hii.
Huko ukraine kapakimbia na hapo red sea muda si mrefu atakimbia
 
Back
Top Bottom