T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Iran iliyoshambulia ndani ya Pakistan iko mfukoni mwa nani?Pakistan wapo mfukoni mwa Saudi Arabia na USA, chochote watachokiamuru hao mabwana wakubwa Pakistan haitofikiri mara mbili.
Iran ameshambulia umekubali, Pakistan ameshambulia unadai yuko mifukoni.
Hata Pakistan imepiga kikundi cha kigaidi, huyo Kanali wa Iran inahitajika maelezo ilikuwaje yeye na bodyguards wake wamekutwa kwenye shambulizi dhidi ya magaidi.Pakistan hawakupigwa wao, waliopigwa ni kikundi cha ugaidi kisichoitakia mema serikali ya Iran, na ni baada ya diplomasia kubwa sana kupita.
Hata Israel huwa inaifahamisha Syria na Russia ikitaka kuishambulia magaidi yanayofadhiliwa na Iran ndani ya Syria.Jana nilikuwa namsikiliza Waziri wa Mambo ya nje wa Iran anahojiwa huko Davos, kasema wazi kuwa hata kabla ya mashambulio waliwasiliana na Pakistan na kuwafahamisha.
Hata Uturuki nayo ikifanya mashambulizi Syria huwa iko mifukoni kwa Saudi Arabia?
Iran ilitumia suicide drones na ballistic missiles. Haina ubavu huo wa kupeleka fighter jets kwenye anga la Pakistan kudondosha mabomu.Iran ilitumia "precision bombs" kama ilizotumia kutandika kituo cha Mossad huko Erbil, Kurdistan na kuwachapa ISIs huko Syria.
Kama ambavyo Pakistan wamefanyaWalichofanya Iran ni kuonesha kuwa wanayo intelijenssia na wameshambulia vikundi vya Kigaidi.
Pakistan kashambulia Iran, sio propaganda ni ukweli.Mengine yote ni propaganda za Wamarekani, Wasaudi na ndugu zao mazayuni.