Ukiingia mgogoro wa Israel unaleta mjadala mwingine mgumu.Hata IRGC ni jeshi ndani ya Iran, na limefanya mashambulizi kwa Iraq na Pakistan.
Kama lina justification ya kushambulia ardhi ya nchi nyingine na mnakubali, kwanini mnakataa justification ya Israel kushambulia wanaoishambulia waliopo nchi nyinginezo?
Kwanini Iran kushambulia inaoita magaidi iungwe mkono, ila Israel kushambulia inaoita magaidi ilalamikiwe.
Hapo tutaanza kuchambua mengi kuanzia 1947 mpaka sasa na motives za hayo makundi yanayoishambulia Israel.