Vita za India na Pakistan nyingi zilikua za mitutu na Mizinga na mashambulio ya anga kwa kiasi.Walichokuwa wanapigania Iran vs Iraq ndio walikuwa wanapigania India vs Pakistan.
Vita zilizohusisha submarine operations na aircraft carrier ndio unaita border clashes. Vita ya India na Pakistan ilikuwa na ujazo wote wa kivita tena ilipiganwa kisasa, vita ya Iran na Iraq ilipiganwa kimaangamizi kufyatua makombora mijini na kutumia gesi za sumu, si kwamba hivyo vitu India na Pakistan walikuwa hawawezi ila tu walijizuia.
Border clash unahusishaje submarine embu usinichote broh.
Na vita zao hawa jamaa zilikua za kupumzika mnaviziana mnapumzika.
Iran Vs Iraq ilikua vita ilohusisha ndege vita,mizinga,makombora ,maroketi na vifaru ilifikia hatua mpaka mmoja wapo aliishiwa silaha na kufadhiliwa na USA
Na vita haikusimama ilipiganwa 8 years consecutively.
Usifananishe hizo vita aisee.
Syria pia IRGC ina operate kumbakisha Assad madarakani IRGC hao hao wafadhili wa washika silaha tata hapo middle east Hizbollah na Houthi .
Huwezi fananisha jeshi la Iran na la Pakistan kuwa serious bro.