Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Iran wakijibu basi hii itaelekea kuwa vita kamili. Iran akijichanganya akaingia kwenye vita na pakstan nadhan US anaisubiri hiyo kama opportunity ya kuangusha utawala wa Iran.
Naona mwaka huu tutashuhudia sana vita
Umesahau jinsi wahindi walivyo na chuki na Pakistani au ?
Umewasahau watalebani ambavyo wanauhasama na wapakistan kwenye mipaka yao ?
 
PKK wao wanajiona kama sio magaidi same to hamas iran inawaona wapigania uhuru USA na Israel wanaona magaidi ko kuitwa gaidi na sio gaidi ni mtazamo wa mtu na mtu
PKK ni magaidi wa kikurdi.
Hilo liko wazi.
Hamas wanaeleweka wanachopigania ni two state solution kati ya Israel na Palestina.
PKK wanapigania nini??
Kazi yao ni kufanya suicide bombing ndani ya Turkiye ukiwauliza wamachopigania hawana jibu kamili.
Mpaka Iraq wakurdi wapo hao ni watu wa fujo tu.
 
Pakistan ubavu anao ila sio wa kutunishiana misuli na Iran.
Iran habari yake inajulikana msitake tuwakumbushe.
Na mbaya zaidi Iran ana air defense system nzuri ambayo Pakistan hana.
Kama wakiamua kulengana katika critical infrastructure Pakistan ataumia zaidi.
Vita sio ya kufanyia nadharia kimacho tu uzuri wa pakistan hana makelele kana inchi nyingine za kiislam anadeal na magaidi wa ndani na hata akipigwa bado atapewa sapoti kubwa kuanzia magharibi hadi kwa mchina kwa sababu hana mzozo nao
 
Sema Pakistan wabishi, ngoja tusubiri response ya Iran.
Wametumia ndege, askari au ballistic missiles kufanya mashambulizi?
Pakistan ilikuwa lazima ijibu ili kuzuia tukio kama hilo kujirudia siku zijazo kama ambavyo Iran hufanya inavyojisikia kule Syria na Iraq.

Pakistan nae ni regional power maana wana nyuklia alafu ni taifa la kiislamu la Kisuni, hawawezi kukubali kuchezewa na Iran Washia.

T14 Armata
 
PKK ni magaidi wa kikurdi.
Hilo liko wazi.
Hamas wanaeleweka wanachopigania ni two state solution kati ya Israel na Palestina.
PKK wanapigania nini??
Kazi yao ni kufanya suicide bombing ndani ya Turkiye ukiwauliza wamachopigania hawana jibu kamili.
Mpaka Iraq wakurdi wapo hao ni watu wa fujo tu.
Hao houthi wanapigania nini? mi nimekwambia ni mtazamo wako tu utaamua au kitu walichokifanya katika nchi yenu ndo itaamua kutambua ni gaidi au sio gaidi wewe utaita magaidi mimi nitamwita mpigania uhuru au haki na kumfadhili
 
POOR THINKING CAPACITY AND REASONING...

UNAANGALIA OUTCOMES BADALA YA KUANGALIA ROOTCAUSE,,,MIDDLE EAST INSTABILITY MIAKA YOTE INASABABISHWA NA MABWANA ZENU WAZUNGU I MEAN WAGALATIA WENZENU,

MABWANA ZENU USA WALIVAMIA IRAQ KWA MIAKA MINGI KWA HOJA ETI YA WEAPONS OF MASS DESTRUCTION KUMBE WANATAKA MAFUTA TUH,HIZO WEAPONS WALIZIKUTA??

LIBYA WAMEINGIA NCHI IKIWA NA AMANI WAMEACHA CHAOS HADI LEO,LAANA NA BALAA KATIKA DUNIA HII NI MABWANA ZENU
una maanisha raia wa middle east hawana akili kbs ? mpk migogoro yao ichochewe na Wagalatia?
 
Umesahau jinsi wahindi walivyo na chuki na Pakistani au ?
Umewasahau watalebani ambavyo wanauhasama na wapakistan kwenye mipaka yao ?
Ila hakuna mapigano yaliyotokea.
Hiyo Baluchistan kumbe wana share kama India na Pakistan wanavyo share kashmir.
Hakuna interests za Iran zilizoguswa.
Kama kungepigwa eneo la ndani zaidi hapo yangetokea mengine.
 
Pakistan ni miongoni mwa nchi zenye weledi wa intelijensia baada ya mashirika ya UsA. Russia Mosaad ,M16 iko kwenye top 10.
Na Iran akijibu ajue kabisa kuwa USA na wahuni wenzake a.k.a NATO walikuwa wanasubiria hilo akumbuke Russia bado anamkamua jipu Ukraine hatakuja. China ni joka la Kibisa ambaye anavizia watu watwangane yeye aongize kiuchumi hatajihusisha popote uchumi wake usiyumbe
China sasa hivi si ndiye mbadala wa Saudia. Nasikia anajiandaa kujenga miji kama ya Makka na Madina ili watu badala ya kwenda kuhiji Saudia wawe wanaenda kuhiji China.
China ni Mwana sana
 
Katika nchi za kiislam wabishi basi ni pakistan wamewahi wabonda india mpakani mwao
Alafu wale jamaa ni wagaidi sana vita ya moja kwa moja anakupiga huku ana vikundi vyake hadi vya kujitoa muhanga vinakupiga pia waulize wahindi wanawajua vizuri ,hapo Iran achutame tu
 
Chimi sasa hivi si ndiye mbadala wa Saudia? Nasikia anajiandaa kujenga miji kama ya Makka na Madina ili watu badala ya kwenda kuhiji Saudia wawe wanaenda kuhiji China.
China ni Mwana sana
Kwahiyo atakuuwa na mtume pia. 😀😀 China hashindwi
 
Ila hakuna mapigano yaliyotokea.
Hiyo Baluchistan kumbe wana share kama India na Pakistan wanavyo share kashmir.
Hakuna interests za Iran zilizoguswa.
Kama kungepigwa eneo la ndani zaidi hapo yangetokea mengine.
Watu wamekufa na katika dunia hii cha thamani kwa mwanadamu mwenye akili tofuti na wanaomeza mabomu kwa ahadi za kijinga ni uhai wake, halafu unasema hakuna interests
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747898129192505401?t=eXwt4M4T2NLHEYjEZpCosA&s=19
 
I
Iran wakijibu basi hii itaelekea kuwa vita kamili. Iran akijichanganya akaingia kwenye vita na pakstan nadhan US anaisubiri hiyo kama opportunity ya kuangusha utawala wa Iran.
Naona mwaka huu tutashuhudia sana vita
Iran hawezi kujibu sababu anawajua vizuri wendawazimu wa Pakistan.
wale Taliban huwa wanalianzisha na kuingia hadi Iran na kushambulia askari wa Iran, wakishayoa dozi wanarudi kwao, lakini kule kwenye mpaka wa Pakistan na Afghanistan , Pakistan ndiye anapachezea atakavyo ma wakati mwingine Taliban ndiyo hulalamika
 
Watu wamekufa na katika dunia hii cha thamani kwa mwanadamu mwenye akili tofuti na wanaomeza mabomu kwa ahadi za kijinga ni uhai wake, halafu unasema hakuna interests
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747898129192505401?t=eXwt4M4T2NLHEYjEZpCosA&s=19

Ripoti Aljazeera inasema watu sita.
Na haijataja IRGC personnel yeyote kuuawa.
Anyway ndio uhai kitu muhimu kuliko chochote.
Ila dunia ya siasa hupima uzito wa uhai pia.
Akifa raia wa kawaida na nyumba yake si sawa akiuliwa kiongozi wa Iran ama jengo la utawala likivunjwa.
 
Mbona sasa hivi hiyo India ina waisilamu wengi kuliko hata Pakistan?
Yeah!...ila kila mara kuna migogoro ya Wahindu wenye misimamo mkali kuwashambulia Waislamu na kujaribu kuwasilimisha kuwa Wahindu kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom