Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Sema Pakistan wabishi, ngoja tusubiri response ya Iran.
Wametumia ndege, askari au ballistic missiles kufanya mashambulizi?
Kamanda ameuliwa na kundi la washika silaha la Pakistan hajauliwa na serikali ya Pakistan kwa jeshi lake.
 
Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan.

Source:
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747832880884072802?t=XSOnUi4rscmMxU2leqIvIA&s=19

USIPOTOSHE HABARI WEWE.
Jeshi la Pakistani halikufanya mashambulizi kwa jeshi la Iran bali lililipua maeneo ya kundi la washika silaha wa kipakistan.
Na huyo Colonel Hossen Ali aliuawa kabla ya hilo shambulio

Msitupotoshee taarifa bhana.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-18-10-51-41-68_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-18-10-51-41-68_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    144.8 KB · Views: 1
Mbona sasa hivi hiyo India ina waisilamu wengi kuliko hata Pakistan?
Yes India ina takriban 200 million Muslims, hio ni kwasababu kuna wengine waliamua kubaki India baada ya partition, wapo wengi na wanazidi kuongezeka kwasababu hali ya maisha ya India, hakuna sababu nyingine.

Kama hali ya maisha ya Pakistan ingekuwa ni nzuri kwann India kuna muslims wengi kuliko Pakistan na kwann kuna wengine waliamua kubaki after 1947 partition?

Pia naweza kuongezea swali kwamba, kwann muslims wanapenda kuhamia/kukimbilia nchi sizizo za kiislamu, waislamu wanasema uisamu ndo suluhisho na makafir ndo tatizo, kwann unahamia kwenye tatizo (makafir) na usibaki kweny suluhisho??
Jibu ni moja tuu, ili kuibadilisha hio nchi iwe dola ya kiislamu.
 
Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan.

Source:
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747832880884072802?t=XSOnUi4rscmMxU2leqIvIA&s=19

Embu soma habari hiyo.
Hilo shambulio wala sio la kulipiza kisasi acheni kupotosha habari.
Waliolengwa sio Iran wala jeshi lake.
Na shambulio limefanyika mipakani kama Iran alivyofanya mipakani siku zilizopita.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-01-18-11-07-38-40_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-01-18-11-07-38-40_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    134.5 KB · Views: 2
Embu soma habari hiyo.
Hilo shambulio wala sio la kulipiza kisasi acheni kupotosha habari.
Waliolengwa sio Iran wala jeshi lake.
Na shambulio limefanyika mipakani kama Iran alivyofanya mipakani siku zilizopita.
Ila limefanywa kwenye ardhi ya nchi gani?
 
Iran wakijibu basi hii itaelekea kuwa vita kamili. Iran akijichanganya akaingia kwenye vita na pakstan nadhan US anaisubiri hiyo kama opportunity ya kuangusha utawala wa Iran.
Naona mwaka huu tutashuhudia sana vita
Pakistan hana uwezo wa kuiangusha Iran.
Kashmir tu imemshinda kuikomboa kwa India ataweza shindana na Iran??
Iran ndio taifa lenye great missile power hapo middle east.
 
Ila limefanywa kwenye ardhi ya nchi gani?
Lengo la shambulio ni nini??
Hao magaidi walolengwa ndio hao waliolengwa Baluchistan.
Na ndio hao walomuua Colonel Hossein Ali.
Tizama lengo usitizame shambulio.
 
Mbona hii habari inasema waliolengwa ni terrorist group mwenzenu anadai Pakistan imeishambulia Iran kulipiza kisasi??
Kila shambulio linalofanywa na nchi fulani lazima waweke na madai yao hasa mambo ya ugaidi nitajie mashambulizi ya Turkey Iran USA n.k yanayofanywa Iraq na syria wanataja sababu ni nini.
 
Pakistan hana uwezo wa kuiangusha Iran.
Kashmir tu imemshinda kuikomboa kwa India ataweza shindana na Iran??
Iran ndio taifa lenye great missile power hapo middle east.
Naongelea support ya US na washirika wake. US atakuwa kapata taifa la kutumia kupigana na Iran kama ikigeuka kuwa total war
 
Kila shambulio linalofanywa na nchi fulani lazima waweke na madai yao hasa mambo ya ugaidi nitajie mashambulizi ya Turkey Iran USA n.k yanayofanywa Iraq na syria wanataja sababu ni nini.
Pamelengwa wapi???
Tuzungumzie habari ya Iran kwanza.
Haikulengwa kambi ya kijeshi ya Iran.
Palipolengwa ni makazi ya mpakani ya Iran.
Na shambulio limetokea baada ya hao magaidi kumuua huyo Colonel.
Turkiye inafanyaga mashambulizi Syria na huwa hawadanganyi wanawalenga PKK group na ushahidi upo.
Kwa USA hapo ni another case.
 
PKK wao wanajiona kama sio magaidi same to hamas iran inawaona wapigania uhuru USA na Israel wanaona magaidi ko kuitwa gaidi na sio gaidi ni mtazamo wa mtu na mtu
 
Pakistan ilishambulia maeneo saba mashariki mwa Iran na kusababisha kifo cha kanali wa IRGC na uharibu mwingine. Kwa hapa namuunga mkono Pakistan kushambulia Iran kwa sababu Iran hakutaka diplomasia badala yake alitumia nguvu kushambulia ardhi ya Pakistan.

Source:
View: https://twitter.com/MarioNawfal/status/1747832880884072802?t=XSOnUi4rscmMxU2leqIvIA&s=19

Wajnga sana hawa .Mbona siku zote Israel inaua watu wala hawajajibu chochote
Uharaka wa kujibu ni kwa Iran tu na ubabe wa Iran ni kwa Pakistani tu
 
hv Pakistan unawajua ? hv unahis Pakistan ni level za Ukraine ?
Pakistan ubavu anao ila sio wa kutunishiana misuli na Iran.
Iran habari yake inajulikana msitake tuwakumbushe.
Na mbaya zaidi Iran ana air defense system nzuri ambayo Pakistan hana.
Kama wakiamua kulengana katika critical infrastructure Pakistan ataumia zaidi.
 
huuu mwakaaa tutaona mengi wauza silahaa kazikwenu
Na hao wauza silaha ndio wanao tuangamiza kwakweli, Ukiangalia kule Sudani wana silaha mpya kabisa na nizanguvu sana hapo sasa ndipo utakapoona wakubwa wanajua kutuchanganya na kutukaanga kwa mafuta yetu weneyewe.
 
Back
Top Bottom