Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Russia na Ukraine wanapigania nini nao?Hii dini ya Allah ni ngumu sana
Huko DRC nako ni waislam basi sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Russia na Ukraine wanapigania nini nao?Hii dini ya Allah ni ngumu sana
Lakini hao Afghanstan ni maadui wa IranPakistan na Afghanistan ya wataleban siku hizi ni paka na panya , na mpaka majuzi kumeibuka mapigano kwenye mipaka na Pakistani kwanza kufukuza waafghanistani
Vita alizopigana Pakistan ni ndogo tuseme ni small border clash with India.Iran wana chawa tu 😂😂
India haihawahi kuishinda Pakistan maana ugomvi wao ni Kashmir ambapo kila nchi inalimiliki nusu na ndoto ya kila mmoja ni siku moja alimiliki jimbo hilo peke yake, kama India amekuwa akiishinda Pakistan basi angekuwa amesha muondoa kwenye hilo jimbo na kulimiliki yeye.India haina shida na kupigana na Pakistan. Mara zote unazoona wameingia vitani ujue Pakistan ndio huwa mchochezi na anapigwa.
India viongozi wake sio wa kijeshi, haijawahi ongozwa kijeshi na jeshi lao halina influence kubwa kisiasa. Pakistan ni oyaoya majenerali wakijidanganya wanaweza basi wakaanzisha vita. Na sijawahi ona vita inayoanzishwa na wanajeshi inaleta ushindi
Bro unafananishaje border clash na Full scale war alopigana Iran dhidi ya Iraq kwa miaka nane???Pakistan imepigana vita na India kuanzia 1947
1965
1971
1999
Unasemaje haina uzoefu?
Ukiachana na Iran kupigana na Iraq iliwahi pigana na nani tena. Unaipimaje Iran na kudai ina uzoefu?
Sasa mkuu unachekesha sana rasilimali mlizo nazo hapa nchini hamuwezi kuzilinda zinaporwa tena bila bunduki ndo mtaweza kwenda kupora za nchi nyingine?nashangaa Tanzania sijui huwa inalala kwanini tu! mpk Rwanda anachukua rasilimali sisi Taifa kubwa tupo tu.
Bila kuvamia Taifa jingine na kuiba ni ngumu kusonga mbele angalia US anachofanya.
Kumbe Pakistan inalea makundi ya Kigaidi nchini mwao!!!?????India haihawahi kuishinda Pakistan maana ugomvi wao ni Kashmir ambapo kila nchi inalimiliki nusu na ndoto ya kila mmoja ni siku moja alimiliki jimbo hilo peke yake, kama India amekuwa akiishinda Pakistan basi angekuwa amesha muondoa kwenye hilo jimbo na kulimiliki yeye.
Kinacho tokeaga ni mapigano ya hapa na pale mipakani na sio vita kamili.
India na Pakistan ni maadui wakubwa hivyo ni razima India achukue advantage hiyo kumdhohofisha japo hataingia moja kwa moja vitani kama ambavyo nchi za magharibi zinafanya kwa Urusi huko Ukraine ,hata Iran akiingia vitani na Pakistan ni razima maadui zake watumie hiyo advantage kumdhohofisha wakiongozwa na Marekani, Israel na Saudia japo hawataishambulia moja kwa moja na hilo Iran analijua.
Dunia ya sasa ni kuviziana hivyo hivyo kwa kwenda mbele.
Kiufupi Iran na Pakistan wote hakuna mwenye hamu na vita dhidi ya mwenzake , Iran ilifanya shambulizi dhidi ya Pakistan baada ya kuishiwa na uvumilivu maana Iran imesha ionya sana na kwa miaka mingi Pakistan iache kulea makundi ambayo yamekuwa changamoto kwa usalama wa Iran lakini Pakistan haijali wala nn.
Na sijawahi kujua Pakistan huwa anapata faida gani kuyalea haya makundi maana hata Afghanistan, Uturuki na India wamekuwa wakiilalamikia Pakistan kulea makundi ambayo yanahatarisha usalama wa nchi zao hali ya kuwa uwezo wa kuya dhibiti wanao.
Hata Marekani ilisha ilalamikia sana Pakistan kwa kuyadhamini makundi yaliyo kuwa yanawauwa wanajeshi wa Marekani nchini Afghanistan licha ya kuwa Marekani anaipa Pakistan msaada wa kijeshi.
Wakurdi ndio kabila ambalo lipo mataifa manne ( Turkey , Syria , Iraq na Iran ) , wanataka kujitenga na kutengeneza taifa lao KurdistanPKK ni magaidi wa kikurdi.
Hilo liko wazi.
Hamas wanaeleweka wanachopigania ni two state solution kati ya Israel na Palestina.
PKK wanapigania nini??
Kazi yao ni kufanya suicide bombing ndani ya Turkiye ukiwauliza wamachopigania hawana jibu kamili.
Mpaka Iraq wakurdi wapo hao ni watu wa fujo tu.
Hahaha sio swali hilo kwa sasa, Acha ahangaike na wazimu wakeKwani hukuona jinsi Joshua alivyo uwawa kikatili?
Kitakachomzuia anajua akilianzisha wakaingia vitani na Pakstan bila shaka itakuwa ndio mwanzo wa serikali yake kuanguka. hatakuwa akipigana na Pakstan tu, atakuwa anapigana na Pakstan iliyobacked na US na washikaji zake maana wanamtamani sana plus Israel anayedai kuwa ni Iran anayewapa nguvu Hamas na Hezbollah.I
Iran hawezi kujibu sababu anawajua vizuri wendawazimu wa Pakistan.
wale Taliban huwa wanalianzisha na kuingia hadi Iran na kushambulia askari wa Iran, wakishayoa dozi wanarudi kwao, lakini kule kwenye mpaka wa Pakistan na Afghanistan , Pakistan ndiye anapachezea atakavyo ma wakati mwingine Taliban ndiyo hulalamika
India na Pakistan ni watu walewale,Ila baadhi wakasilimu na wengine wakabaku na uhindu wao,India imetawaliwa na watawala waislam kwa muda mrefu,toka Bangladesh pitia India mpaka Pakistan,ni watu walewaleYes India ina takriban 200 million Muslims, hio ni kwasababu kuna wengine waliamua kubaki India baada ya partition, wapo wengi na wanazidi kuongezeka kwasababu hali ya maisha ya India, hakuna sababu nyingine.
Kama hali ya maisha ya Pakistan ingekuwa ni nzuri kwann India kuna muslims wengi kuliko Pakistan na kwann kuna wengine waliamua kubaki after 1947 partition?
Pia naweza kuongezea swali kwamba, kwann muslims wanapenda kuhamia/kukimbilia nchi sizizo za kiislamu, waislamu wanasema uisamu ndo suluhisho na makafir ndo tatizo, kwann unahamia kwenye tatizo (makafir) na usibaki kweny suluhisho??
Jibu ni moja tuu, ili kuibadilisha hio nchi iwe dola ya kiislamu.
Hakuna mwenye nia na vita kati yao wakati Iran ikisubiliwa ajichanganye na maadui zake wa kikanda na Marekani ,upande wa pili India nao wanasubili Pakistan wajichanganye.Iran atapigwa achakae, Pakistan sio wanyonge
Wahindi wana chuki na Pakstan lakini katika hii vita itabidi wakae kimya kama Pakstan atakuwa backed na US na washikaji zake. Hao Taleban wamekuwepo muda anawathibiti tu. Kwanza story za Pakstan na taleban nazo mimi zinanishangaza. Story zinadai mshikaji wa Taleban Osama serikali ilikuwa inajua kuwa yupo hapo kajificha lakini haikuwahi kuwambia US.Umesahau jinsi wahindi walivyo na chuki na Pakistani au ?
Umewasahau watalebani ambavyo wanauhasama na wapakistan kwenye mipaka yao ?
Walichokuwa wanapigania Iran vs Iraq ndio walikuwa wanapigania India vs Pakistan.Bro unafananishaje border clash na Full scale war alopigana Iran dhidi ya Iraq kwa miaka nane???
Huwezi kuwa serious hata kidogo.
Hawa hawafai kuunda taifa wataleta sana machafuko hawa jamaa.Wakurdi ndio kabila ambalo lipo mataifa manne ( Turkey , Syria , Iraq na Iran ) , wanataka kujitenga na kutengeneza taifa lao Kurdistan
Kwann baada ya shambulio la Iran ndani ya Pakistan serikali ya Pakistan ililaani hilo shambulio na ikamwita balozi wake kurudi Pakistani na pia ikawatimua raia wa Irani waliokuwa njiani kurejea Pakistani?Lengo la shambulio ni nini??
Hao magaidi walolengwa ndio hao waliolengwa Baluchistan.
Na ndio hao walomuua Colonel Hossein Ali.
Tizama lengo usitizame shambulio.
Kuna kundi linaitwa Pakistani Taliban , hawa wanafanya ambush za kulipua mabomu na maangamizi ya kujitoa mhanga kila siku Pakistani. ,na wanalelewa na Afghanistan .Lakini hao Afghanstan ni maadui wa Iran
Haingii mazima ila atampa kila saport Iran.Sidhani km india itaingia mazima mazima.