suni, shia, salman rushdie satanic verses, mohammad na hussein mambo meusi halafu unasema quran haina makosa🤣🤣🤣Si unaona mnavyogombana,wakatoliki wanasema yesu si Mungu Bali mwana wa Mungu,walokole wanasema yesu Mungu,na wote wako sahihi kwa mujibu wa biblia...siyo wewe,wengi tu wameshindwa kuonesha upogo na mgongano kwenye Qur'an,kitabu Cha mtu hakujua soma Wala kuandika,hakuna mhariri lakini bado hakina makosa
Iran haitaki kuonekana ni North Korea ya pili, lakini ikitokea threat ya Pakistan kutumia nuclear dunia itashangaa, ni ujinga kuwaza Iran haina nuclear ama capability kutengeneza nuke weapon, Iran itarudi haraka sana kutengeneza silaha za nuclear wapo tayari muda wowote.Ukiondoa Nyukilia Pakistan mbele ya Iran ni mwepesi mno Iran inasilaha zenye ubora wa hali ya juu kuliko Pakistan.
Waambie hao , hawajui vita sikuhizi ni logistics na ubavu wa kuwa na arms industry na uchumi uliokomaa kuhandle demand yako wakati wa vita na jeshi kubwa lenye experience ya real combat ya vita .Pakistan huwa imejiandaa kijeshi muda wowote kukabiliana na India, Iran huwa imejiandaa kijeshi muda wowote kupambana na washirika wa NATO kama US, Israel n.k , ipo wazi Iran inakabiliana na adui wenye nguvu, mikakati na ushawishi na hii imemjenga Iran kuwa strong.
Kuhusu nuclear, Iran ina uwezo kutengeneza nuclear ndani ya muda mchache kama kuna threat ya nuclear, pia nuke za Pakistan its not that superior.
Iran inatengeneza silaha kwa wingi nchini mwao tofauti na Pakistan.
Pakistan haiwezi pambana na Iran, nachoona Iran anaweza tumia proxies kuidhoofisha Pakistan kama kawaida yao.
Nani kakwambia Iran Hana Nuke ?Pakistan ni miongoni mwanchi zinazomiliki silaha za nuclear wakati Iran hana hizo silaha. Pakistan sio Iraq hao wapo vizur walishamkung'uta mpaka india
elezea
in case shits escalates Pakistan ana nukes iran hanaWaambie hao , hawajui vita sikuhizi ni logistics na ubavu wa kuwa na arms industry na uchumi uliokomaa kuhandle demand yako wakati wa vita na jeshi kubwa lenye experience ya real combat ya vita .
Sasa watu wafanye comparison katika hizo angles kati ya Iran na Pakistani watapata jibu wenyewe .
Umeanika umbumbumbu wako juu ya uislam,sunni na shia wanatumia Qur'an ileile, tofauti zao ni kugombea madaraka baada ya mtume kufariki,hussein ni mjukuu wa mtume,umewaweka hapo waligombana lini!?..suni, shia, salman rushdie satanic verses, mohammad na hussein mambo meusi halafu unasema quran haina makosa🤣🤣🤣
Na ndio maana Iran makombora yote anayo yaunda yana uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia.Iran haitaki kuonekana ni North Korea ya pili, lakini ikitokea threat ya Pakistan kutumia nuclear dunia itashangaa, ni ujinga kuwaza Iran haina nuclear ama capability kutengeneza nuke weapon, Iran itarudi haraka sana kutengeneza silaha za nuclear wapo tayari muda wowote.
Huwezi pambana na NATO halafu nuclear huna, hizo ni danganya toto mtu ajidanganye, wao si wajinga wana project zao za siri.
Inasemekana Iran inaweza enrich uranium ndani ya siku 5 tu kufikia kiwango cha kutengeneza bomb la nuclear, enrichment inadaiwa ni kwa 20% kiasi ambacho kitatosha kabisa kutumia kuunda silaha ya nuclear.
Ni sawa na mtu kaweka maji jikoni yanachemka na pembeni unga anao, muda wowote anapika ugali, ugali hana lakini muda wowote ana upika.
Na silaha itakuwa advanced na superior kuliko hizo za Pakistan.
Muhindi na muhajemi hapoTaarifa ya serikali ya pakistan
View attachment 2875107
Iran ina kombora toka 1990's lina range ya 14000 km, linafika US, Shahab 6, Netanyahu alishasema hili.Na ndio maana Iran makombora yote anayo yaunda yana uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia.
Mersad Air DefenseLeta ushahidi.
Iran imeanza lini kutengeneza ICBM?!Iran ina kombora toka 1990's lina range ya 14000 km, linafika US, Shahab 6, Netanyahu alishasema hili.
Bomu la nyuklia halitengenezewi msituni au kwenye pagale. Bomu la nyuklia process za kuliunda ni lazima uhusishe nuclear reactors, coolers na mitambo mingine mikubwa iliyo kwenye installations. Na lazima uwe na facilities kubwa kabisa ambazo zote za Iran zinajulikana zilipo.Iran haitaki kuonekana ni North Korea ya pili, lakini ikitokea threat ya Pakistan kutumia nuclear dunia itashangaa, ni ujinga kuwaza Iran haina nuclear ama capability kutengeneza nuke weapon, Iran itarudi haraka sana kutengeneza silaha za nuclear wapo tayari muda wowote.
Huwezi pambana na NATO halafu nuclear huna, hizo ni danganya toto mtu ajidanganye, wao si wajinga wana project zao za siri.
Inasemekana Iran inaweza enrich uranium ndani ya siku 5 tu kufikia kiwango cha kutengeneza bomb la nuclear, enrichment inadaiwa ni kwa 20% kiasi ambacho kitatosha kabisa kutumia kuunda silaha ya nuclear.
Ni sawa na mtu kaweka maji jikoni yanachemka na pembeni unga anao, muda wowote anapika ugali, ugali hana lakini muda wowote ana upika.
Na silaha itakuwa advanced na superior kuliko hizo za Pakistan.
Kwa hiyo hawa wafuasi wa dini ya haqi hata wakiachiwa dunia waishi peke yao bado wataendelea kuuwana tu.
View: https://twitter.com/SH_NasrallahEng/status/1747909240298279412
Kama kuna mtu anadhani Washia na Wasunni ni sawa basi hajawahi kufatilia historia yao kwa ukaribu
Shia wanajiita wafuasi wa Ali na Wasunni wanajiita wafuasi wa Muhammad
Hakuna ushahidi wa kuwa hizo silaha ni kopi ,kwani kitu kikifanana muonekano basi kimekopiwa?Mersad Air Defense
Shahed 171 drone
Toophan ATM
Hiyo ni mifano michache tu.
Bado yupo na South Korea kumdhibiti kiduku. Japan yupo, Philippines yupo pia ana deal na mchina.Tunasemaga humu ndani US ni kitu kingine kabisa, sasa hivi anapigana Ukraine, anapiga drills Taiwan if mchina akijichanganya, bado yupo Black sea akiwa na Israel, na bado ana hamu na Iran.
Hakuna mwanaume mwenye huu ubavu wa kusimama namna hii.
ICBM ni kitu kidogo sana kwa nchi yenye advanced tech kijeshi kama Iran, Iran haija focus sana na ICBM bali si sababu hawawezi bali kwa sababu adui zake wapo within ya range ndogo isiyohitajika ICBM.Iran imeanza lini kutengeneza ICBM?!