Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Kanali wa Iran auawa kwa mashambulio ya Pakistan katika ardhi ya Iran

Watu mnaofanya comparison ya Pakistan na Iran hsmko vizuri kichwani , mko na serious issue
Yaani Iran mwenye arms industry iliyokomaa mpaka kuna heavy machines na vifaa vya kijeshi ana design na kutengeneza nyingi tu mwenyewe
Na hapo ni chini ya vikwazo vikali kwa muda mrefu sana , Iran ni moja ya nchi ambayo imekuwa katika sanctions na embargo Kwa muda mrefu sana na bado anafanya wonders Sana
Iran ni namba nyingine kabisa
 
Si unaona mnavyogombana,wakatoliki wanasema yesu si Mungu Bali mwana wa Mungu,walokole wanasema yesu Mungu,na wote wako sahihi kwa mujibu wa biblia...siyo wewe,wengi tu wameshindwa kuonesha upogo na mgongano kwenye Qur'an,kitabu Cha mtu hakujua soma Wala kuandika,hakuna mhariri lakini bado hakina makosa
suni, shia, salman rushdie satanic verses, mohammad na hussein mambo meusi halafu unasema quran haina makosa🤣🤣🤣
 
Ukiondoa Nyukilia Pakistan mbele ya Iran ni mwepesi mno Iran inasilaha zenye ubora wa hali ya juu kuliko Pakistan.
Iran haitaki kuonekana ni North Korea ya pili, lakini ikitokea threat ya Pakistan kutumia nuclear dunia itashangaa, ni ujinga kuwaza Iran haina nuclear ama capability kutengeneza nuke weapon, Iran itarudi haraka sana kutengeneza silaha za nuclear wapo tayari muda wowote.

Huwezi pambana na NATO halafu nuclear huna, hizo ni danganya toto mtu ajidanganye, wao si wajinga wana project zao za siri.

Inasemekana Iran inaweza enrich uranium ndani ya siku 5 tu kufikia kiwango cha kutengeneza bomb la nuclear, enrichment inadaiwa ni kwa 20% kiasi ambacho kitatosha kabisa kutumia kuunda silaha ya nuclear.

Ni sawa na mtu kaweka maji jikoni yanachemka na pembeni unga anao, muda wowote anapika ugali, ugali hana lakini muda wowote ana upika.

Na silaha itakuwa advanced na superior kuliko hizo za Pakistan.
 
Pakistan huwa imejiandaa kijeshi muda wowote kukabiliana na India, Iran huwa imejiandaa kijeshi muda wowote kupambana na washirika wa NATO kama US, Israel n.k , ipo wazi Iran inakabiliana na adui wenye nguvu, mikakati na ushawishi na hii imemjenga Iran kuwa strong.

Kuhusu nuclear, Iran ina uwezo kutengeneza nuclear ndani ya muda mchache kama kuna threat ya nuclear, pia nuke za Pakistan its not that superior.

Iran inatengeneza silaha kwa wingi nchini mwao tofauti na Pakistan.

Pakistan haiwezi pambana na Iran, nachoona Iran anaweza tumia proxies kuidhoofisha Pakistan kama kawaida yao.
Waambie hao , hawajui vita sikuhizi ni logistics na ubavu wa kuwa na arms industry na uchumi uliokomaa kuhandle demand yako wakati wa vita na jeshi kubwa lenye experience ya real combat ya vita .
Sasa watu wafanye comparison katika hizo angles kati ya Iran na Pakistani watapata jibu wenyewe .
 
Pakistan ni miongoni mwanchi zinazomiliki silaha za nuclear wakati Iran hana hizo silaha. Pakistan sio Iraq hao wapo vizur walishamkung'uta mpaka india
Nani kakwambia Iran Hana Nuke ?
Yaani kwenye sekta ya technology ya nuclear umlinganishe Iran na Pakistani ?
Unajielewa kweli wewe ?
Hivi unajua level aliyopo Iran Kwa sasa kwenye teknolojia ya kutengeneza silaha za nuclear na kurutubisha ?
 
Waambie hao , hawajui vita sikuhizi ni logistics na ubavu wa kuwa na arms industry na uchumi uliokomaa kuhandle demand yako wakati wa vita na jeshi kubwa lenye experience ya real combat ya vita .
Sasa watu wafanye comparison katika hizo angles kati ya Iran na Pakistani watapata jibu wenyewe .
in case shits escalates Pakistan ana nukes iran hana
 
suni, shia, salman rushdie satanic verses, mohammad na hussein mambo meusi halafu unasema quran haina makosa🤣🤣🤣
Umeanika umbumbumbu wako juu ya uislam,sunni na shia wanatumia Qur'an ileile, tofauti zao ni kugombea madaraka baada ya mtume kufariki,hussein ni mjukuu wa mtume,umewaweka hapo waligombana lini!?..
 
Iran haitaki kuonekana ni North Korea ya pili, lakini ikitokea threat ya Pakistan kutumia nuclear dunia itashangaa, ni ujinga kuwaza Iran haina nuclear ama capability kutengeneza nuke weapon, Iran itarudi haraka sana kutengeneza silaha za nuclear wapo tayari muda wowote.

Huwezi pambana na NATO halafu nuclear huna, hizo ni danganya toto mtu ajidanganye, wao si wajinga wana project zao za siri.

Inasemekana Iran inaweza enrich uranium ndani ya siku 5 tu kufikia kiwango cha kutengeneza bomb la nuclear, enrichment inadaiwa ni kwa 20% kiasi ambacho kitatosha kabisa kutumia kuunda silaha ya nuclear.

Ni sawa na mtu kaweka maji jikoni yanachemka na pembeni unga anao, muda wowote anapika ugali, ugali hana lakini muda wowote ana upika.

Na silaha itakuwa advanced na superior kuliko hizo za Pakistan.
Na ndio maana Iran makombora yote anayo yaunda yana uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia.
 
Na ndio maana Iran makombora yote anayo yaunda yana uwezo wa kubeba vichwa vya nyukilia.
Iran ina kombora toka 1990's lina range ya 14000 km, linafika US, Shahab 6, Netanyahu alishasema hili.
 
Iran haitaki kuonekana ni North Korea ya pili, lakini ikitokea threat ya Pakistan kutumia nuclear dunia itashangaa, ni ujinga kuwaza Iran haina nuclear ama capability kutengeneza nuke weapon, Iran itarudi haraka sana kutengeneza silaha za nuclear wapo tayari muda wowote.

Huwezi pambana na NATO halafu nuclear huna, hizo ni danganya toto mtu ajidanganye, wao si wajinga wana project zao za siri.

Inasemekana Iran inaweza enrich uranium ndani ya siku 5 tu kufikia kiwango cha kutengeneza bomb la nuclear, enrichment inadaiwa ni kwa 20% kiasi ambacho kitatosha kabisa kutumia kuunda silaha ya nuclear.

Ni sawa na mtu kaweka maji jikoni yanachemka na pembeni unga anao, muda wowote anapika ugali, ugali hana lakini muda wowote ana upika.

Na silaha itakuwa advanced na superior kuliko hizo za Pakistan.
Bomu la nyuklia halitengenezewi msituni au kwenye pagale. Bomu la nyuklia process za kuliunda ni lazima uhusishe nuclear reactors, coolers na mitambo mingine mikubwa iliyo kwenye installations. Na lazima uwe na facilities kubwa kabisa ambazo zote za Iran zinajulikana zilipo.

Kitendo cha Iran kwenda vitani na Pakistan bila kuwa na nukes eti tutatengeneza vita ikiendelea ni kosa kubwa, haitakiwi Pakistan kutumia hata akili za kuvukia barabara kuzuia Iran kuwa na warhead walau moja. Ni kitendo cha kutuma Shaheen III moja yenye nuclear yield ndogo kama 15 TNT kwenye nuclear facilities. Sababu mitambo ya nuclear ya Iran iko nje ya makazi ya watu jangwani uko, unawachapa yield ndogo wanabomokewa hizo reactors zote. Mnabaki kufanya exchange ya cruise na ballistic missiles na hapo Pakistan atakutumia hizi na nyinginezo haziko hapa
20240118_232421.jpg

Asitokee mtu kusema sijui Iran ina air defense system, Shaheen III ni ICBM. Ni Marekani anao uwezo wa kupiga ICBM kwa kutumia Aegis System mfumo wa kwenye meli, mfumo ambao Ulaya wanaweza pewa, na Russia ndio ataweza baadae kwa S-500 (kwa madai yao, which I take it with a grain of salt).

Mnakaa mnajifikirisha as if Pakistan ni mafala.
 
Mersad Air Defense
Shahed 171 drone
Toophan ATM

Hiyo ni mifano michache tu.
Hakuna ushahidi wa kuwa hizo silaha ni kopi ,kwani kitu kikifanana muonekano basi kimekopiwa?
 
Tunasemaga humu ndani US ni kitu kingine kabisa, sasa hivi anapigana Ukraine, anapiga drills Taiwan if mchina akijichanganya, bado yupo Black sea akiwa na Israel, na bado ana hamu na Iran.

Hakuna mwanaume mwenye huu ubavu wa kusimama namna hii.
Bado yupo na South Korea kumdhibiti kiduku. Japan yupo, Philippines yupo pia ana deal na mchina.
Huyu jamaa ameshindikana
 
Iran imeanza lini kutengeneza ICBM?!
ICBM ni kitu kidogo sana kwa nchi yenye advanced tech kijeshi kama Iran, Iran haija focus sana na ICBM bali si sababu hawawezi bali kwa sababu adui zake wapo within ya range ndogo isiyohitajika ICBM.

Shahab-6 - Wikipedia

Ukitengeneza gari inakwenda km 100 huwezi shindwa gari ya kwenda km 500, concepts ni zile zile.

Nchi yeyote inayotengeneza rockets za kupandisha satellite wanaweza tengeneza ICBM, ku convert ni rahisi, hata space X wana uwezo kutengeneza ICBM.

Kama hio Shahab 6 ipo toka early 1990's, kinachomfanya Iran asiwe na hayo ma ICBM ni kwa sababu za kimahusiano na kibiashara na nchi za EU, inaweza leta wasiwasi kwa nchi za EU.
 
Back
Top Bottom