4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Hii ni balaa ,niitieni mzee Wasira na Makalla ,najua mzee Wasira macho yameisha zeeka , mchongeshee ya mbao na msogezeeni simu karibu.View attachment 3294013
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election.
Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
View attachment 3294000View attachment 3294001View attachment 3294002View attachment 3294003View attachment 3294004View attachment 3294005View attachment 3294006View attachment 3294007View attachment 3294008View attachment 3294009View attachment 3294010View attachment 3294011View attachment 3294012
Uyu akili na moyo vipo chadema ,ccm yupo kimwili kutafuta maokotoNaona mwamba anayarudi, ccm wamejificha shimoni, lisu anakusanya
Tulia upakwe mafuta we chawa.
No reforms no election
Aibu tupu. JESHI LETU LA POLISI baadhi ya Askari NI kama vibaka tuu
Nyinyi CCM tunajua na nape alipanda kukanyaga migongo ya wale wa mama wa JIMBONI MTAMA😂🤣🤣hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo?
through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?
je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
Kweli na ukisoma au kutazama filamu yake ya THE LONG WALK TO FREEDOM unagundua alipita mambo mengi Sanaa..Twende Lisu twende. wanafiki hawana nafasi muhula huu
NO REFORMS NO ELECTION.Hata mandele alikumbana na vipingamizi vingi sana
Kamuulize nape nauye ,mwazilishi wa hayohivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo?
through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?
je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chademazianampa stress sana?
Cdm haina hela ya kuhonga. Halafu mikutano ya cdm imejaa vijana zaidi. Chama la majizi sasa ni janga full.hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo?
through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?
je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
Watu wana furaha ya moyoni kumwona Lissu,Hongera sana Kiongozi Mwenyezi Mungu akupe hekima na akuongoze kwenye njia sahihi.View attachment 3294013
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election.
Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
View attachment 3294000View attachment 3294001View attachment 3294002View attachment 3294003View attachment 3294004View attachment 3294005View attachment 3294006View attachment 3294007View attachment 3294008View attachment 3294009View attachment 3294010View attachment 3294011View attachment 3294012
We lofa kweli kweli, shughuli gani imesimama Ndandq!?View attachment 3294013
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election.
Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
View attachment 3294000View attachment 3294001View attachment 3294002View attachment 3294003View attachment 3294004View attachment 3294005View attachment 3294006View attachment 3294007View attachment 3294008View attachment 3294009View attachment 3294010View attachment 3294011View attachment 3294012
Eti wakilala kwa CCM ni chawa. Wakilala kwa Chadema eti ni makamanda. Lakini mwisho wa siku wamelala!hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo?
through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?
je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
Hapo umefurahi mpk jino la mwisho 😹Mkuu tunakushukuru sana kwa kutushirikisha hii Baraka ya Mungu
Kama utawala huwa unatoka Kwa Mungu basi safari hii ni LisuView attachment 3294013
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akiwasili Ndanda mchana huu kuendelea na Operesheni ya No Reforms No Election.
Ndanda ipo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara
View attachment 3294000View attachment 3294001View attachment 3294002View attachment 3294003View attachment 3294004View attachment 3294005View attachment 3294006View attachment 3294007View attachment 3294008View attachment 3294009View attachment 3294010View attachment 3294011View attachment 3294012
Lissu anarukaruka tu, hana uwezo wowote wa kuzuia uchaguzi. Watu wenyewe ndio hao tu halafu useme eti ni mmbarikiwa!! Ha ha ha ha ha Ni chizi tu huyo.hivi hao waliolala chini kwenye vumbi ni maigizo au wale wanaofanyaga hivyo wakiilaki CCM ndio maigizo?
through body language and facial expressions,
Godbless Lema amechoka na kabisa amekata tamaa?
je,
tone tone kidigitali mahesabu yamegoma au tuhuma za kuhujumu agenda za chadema zianampa stress sana?
Mungu yupi anakanyaga wanawake?Mbona kama ule utaratibu wa nape kukanyaga wamama waliolala chini unaendelea?
Hili sikubaliani nalo,
Mtu na asichukue Nafasi ya Mungu,
Ibada za sanamu hizi!
Uelewa wako ni finyu.Mungu yupi anakanyaga wanawake?
Dini imekulemaza ubongo, kila sehemu Mungu.Uelewa wako ni finyu.