Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Ruangwa imeitwa ikaitika, Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Tundu Lissu akizungumza na wananchi wa Ruangwa Alasiri ya leo tarehe 06 Aprili 2025, ikiwa mwendelezo wa Operesheni #NoReformsNoElection Kanda ya Kusini.
IMG-20250406-WA0227.jpg
IMG-20250406-WA0226.jpg
IMG-20250406-WA0225.jpg
IMG-20250406-WA0224.jpg
IMG-20250406-WA0223.jpg
IMG-20250406-WA0222.jpg
IMG-20250406-WA0221.jpg
IMG-20250406-WA0220.jpg
IMG-20250406-WA0218.jpg
IMG-20250406-WA0219.jpg
IMG-20250406-WA0217.jpg
IMG-20250406-WA0214.jpg
IMG-20250406-WA0213.jpg
IMG-20250406-WA0215.jpg
 
Huo umati upo nyuma yao hao ndumilakuwili, na ho ni picha za mwaka 2020 wakati wa lowasa
DADADADEKI Maji mtayaita Mmmmmma
No, zinaweza zikawa za kweli, lakini hao hawawezi vumilia risasi hao,watakimbia! Na zikija Tshirt za cCM wanabadilika..
 
No, zinaweza zikawa za kweli, lakini hao hawawezi vumilia risasi hao,watakimbia! Na zikija Tshirt za cCM wanabadilika..
Wajukuu wa mashujaa wa MajiMaji wakimbie risasi?!
 
View attachment 3294928
Ushuhuda ulio hai kuwa Mungu ni mkuu
Mungu wa Mbinguni endelea kutuachia Lissu.

Maua yako Mungu💐🌸💐🌸💐🌻🌼🌻💐🌼💐🌼🌻🌻🌼🌻🌼💐🌸🌼🌻💐🌸🌼🌻🌻💐🌸🌻🌻🌼🪷🌺💐🌻🌼🌸💐🌼💐🌼💐💐🌸🌼💐🌸🌻💐💐🌸🌼💐🌻🌼🌸🌻🌻🌼💐💐🌸🌻🌻🌼💐🌸💐🌼🌼🌻💐💐🌼🌼🌻💐🌸🌼🌻💐🌸🌻🌻🌼🌻💐🌸🌻🌼💐🌸🌻🌼💐🌸🌻🌼💐🌸🌻🌼🌸🌸💐🌼🌼🌻🌻🌼💐🌸🌼🌸💐🌻🌼🌸💐🌼🌼🌻🌻💐🌸🌻🌼💐🌸🌼🌸💐🌼🌻🌻🌻💐🌸🌼🌻💐💐🌼🌴🌻💐💐🌼🌻🌼🌼💐🌼💐🌸🌻🌼💐🌸🌻🌼🌸💐💐🌼🌻🌼💐🌼🌼🌸💐💐🌼🌸🌻💐🌸🌼💐🌻🌻🌻💐🌼🌸💐🌼🌼🌷🌷🌷🌷🌼🌺🌷🌻🌼🌻🌸💐🌼💐🌼🌼🌻🌼🌸💐🌷💐🌸🌺🌻🌼💐🌸🌼🌻💐🌸🌼🌻🌺💐🌸🌼🌻💐🌸🌼🌷🌸🪻🪻🪻⚘️⚘️🌷🌸🌸💐🌸💐🌸💐🌼💐💐💐🌸🌻🌼🌼🌸🌻🌻💐🌸🌼🌻💐🌼🌼🌼🌼💐🌸🌻🌼💐🌸🌼🌻💐🌼🌼🌴🌼🌻🌻🪻🪻🪻🪻🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷🪻🌷🌷🪻🌷
 
Mungu anatuwazia mema, asingefanya muujiza septemba 7
Leo hii lile genge lingeendelea kutafuna ruzuku na Samia fund mchana kweupe...ona wanavyoomboleza na Mbowe kapotea mazima
 
Ukizoom hizi picha zinasikitisha. CCM imefukarisha sana watanganyika.. nyuso zao zimekosa Nuru. No hope.. No future.
Screenshot_20250406-161531_1.jpg
 
Alafu cha ajabu eti hapo ni jimbon kwa waziri mkuu, mji umechoka na watu wamechoka ile mbaya
 
No, zinaweza zikawa za kweli, lakini hao hawawezi vumilia risasi hao,watakimbia! Na zikija Tshirt za cCM wanabadilika..
Kwani risasi za nini tena wakati wananchi ndio walio waweka hapo
 
Back
Top Bottom