Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

Kanda ya kusini: Tundu Lissu awatoa machozi ya Furaha Wananchi wa Ruangwa kwenye Kampeni za No reforms no Election

Alafu cha ajabu eti hapo ni jimbon kwa waziri mkuu, mji umechoka na watu wamechoka ile mbaya
Sasa mtu kama huyo Ka sim ambaye ni chawa mzee atalifanyia nini jimbo?
 
Huo umati upo nyuma yao hao ndumilakuwili, na hiyo ni picha za mwaka 2020 wakati wa lowasa
DADADADEKI Maji mtayaita Mmmmmma
Mimi nipo kikazi zaidi. Sina sabababu ya kuleta picha za Uongo.
 
Wazalemdo wakweli sote tukiona mambo kama haya tunapata tunaini la siku za Mbeleni.
Mungu endelea kumuweka Lissu.
 
Hapo kwa Waziri Mkuu watu wamejitokeza kumsikiliza mpakwa mafuta wa Mungu.

Kwa hali hii kwa nini CCM wasichanganyikiwe???
 
CHADEMA WAKITAKA KUZUIA UCHAGUZI KWA NGUVU YA UMMA UNADHANI POLISI HAWATAFYATUA RISASI?
Mnacho shindwa kuelewa kwa ujinga wenu ni kwamba mnavyo taja CHADEMA utadhani ni kitu fulani kilicho letwa kutoka mbali huko, mna sahau kwamba CHADEMA ni hawa hawa watanzania mlio nao huko kwenye makazi yenu binamu zenu, wajomba zenu, rafiki zenu ambao mnakusanya kodi zao. Mwenye akili timamu hawezi kuhangaika na CHADEMA bali atahangaika na hoja za CHADEMA.
 
Cha Ajabu Huyo Lisu. Kupigwa kwake Risasi ndiyo amekuwa kivutio kwa wananchi.. Watu wanajazana tu kumuona... So zile bullet kwa sasa zinazaaa faidaa.... Ya kivutioo kwa mikutano... This is Magic....
 
Kwa kweli CCM imeshindwa kabisa kuendeleza hii nchi, ni lazima sasa nchi ichukuliwe na chama kingine maana CCM imeshatuonyesha kuwa hawawezi kuliongoza hili taifa.
 
Back
Top Bottom