Mbowe anachukiwa kwa lipi?. Mtu alikiwa gerzani ametoka juzi. Msitengeneze Tanzania ya ukabila. Halafu usiseme Kanda ya ziwa Seema Geita hasa chato. Maana usisahau upinzani wanaungwa mkono Sana Kanda hiyo.
Kwa asili watu wa kanda ya ziwa si wakabila (kwa maana ya ubaguzi) ila dhihaka iliyofanywa na inayoendelea kufanywa juu yao ndio inaowafikirisha zaidi
Upinzani uliungwa mkono miaka hiyo, leo nao hawakubiliki kama CCM tuu; haiitaji PhD kuelewa jambo hili, hivi watu wanadhihakiwa kutokana na asili zao (mfano wanaitwa wachunga ng'ombe, wakuja, washamba), wanatukaniwa mtu waliemheshimu, mpenda na kumwamini (JPM) then watawapendaje wanaofanya hivyo?
Usifikiri ni Geita tuu, ni pamoja na Mwanza, Kagera, Mara, Simiyu na Shinyanga
Tabora baadhi ya sehemu
Kwa Dar kuna Vingunguti, Tabata, Kinyerezi, Ulongoni, Ukonga, Kitunda, Gongo la Mboto, Chanika, nk.
Na usifikiri ni wasukuma tuu, ni pamoja na watu kutoka Mara (wakurya), wakerewe, wahaya, nk.