Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Majanga yanazidi kushika kasii duh
 
Tetemeko hili ni tetetemeko jepesi/ light earth quake kutokana na ukubwa wake wa 4.5.
Tetemeko lenye ukubwa wa 4.0 -4.9 kwenye kizio cha ritcher scale hutambuliwa na baadhi ya wataalamu kuwa ni tetemeko jepesi.
Wataalamu wengine wanaona kuwa tetemeko linalozidi kiwango cha 4.5 kuwa tetemeko kubwa.
 
Tusubiri kupambazuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…