Kanda ya Ziwa: Tetemeko la Ardhi la ukubwa wa 4.5 kwa vipimo vya Richa latikisa

Nina wasiwasi tetemeko limetumwa na watu wasioipenda nchi yetu haiwezekani liruke mikoa ya karibu linyooke alipo meko

Sijui atakimbilia wapi baada ya hili
 
TAka taka hizo
 
Nipo kahama pia,,nlikua nipo bed nmeshangaa kitanda kinacheza mpaka ikabid nitoke nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
siku nyingine usikimbilie nje kwanza angalia usalama wako sehemu salama ya kujiokoa kukiwa na tetemeko ukiwa nyumbani ni chini uvungu wa kitanda na km upo mbali na chumba kaa/kimbilia sehemu ya wazi kabisa ambapo hakuna miti .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…