Kanda ya Ziwa Tulishawakataa wote walokataliwa na Hayati Magufuli

Imekaa kama kusuta suta hivi.Ni vema ujumbe huu ungemuandikia muhusika maana unamjua.
 
Kweli wasukuma ni wa hovyo. Kanda ya ziwa mna nini nchi hii. Labda uchawi na kuua zeruzeru. Kinda ya watu wajinga zaidi Tanzania. Hebu nyamazeni vaeni tunguri zenu na hirizi. Hovyo kabisa
Kwani nyie fisi mna nini?!
 
Endelea kubwabwaja tu kama kubwa jinga
 
Mimi niko kinda ya ziwa lakini hoja yako umechanganya na harufu ya shetani aliyeibuka nchini kunzia 2015 imenuka na umeitia kinyaa. Kazikwe na chuma chako ndio maana umejaa ubaguzi unalalama tu, kafanye kazi
 
Kweli wasukuma ndio hasa mlifiwa na dikteta JPM
 
kiukweli kuna ukweli flani katika andiko lako mungu wa mbinguni awe nawe amina! kwa wale wakiristo tukumbuke kwenda kusali siku ya leo.
 

Nina mashaka na watu wengi kutojua kama JPM alikuwa na matatizo ya moyo ya muda mrefu mpaka kuwekewa mashine kumsaidia mapigo ya moyo nk.

Binafsi nilikuwa naiona risk na hatari aliyokuwa nayo vs matatizo yake yakiafya.
Aina ya ufanyaji kazi wa marehemu JPM ilikuwa inamuweka hatarini sana kutokana na matatizo yake ya kiafya.
 
Sasa mkiwakataa sisi tuwasieiaje? Mtaishia hivyo hivyo wenzenu wanasiei kupeta
 
Njaa ikiwa kali zaidi hiyo mitungi wataiuza kama screpa..muda utaongea.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Acheni ujinga nyie, eti ndio kuna wanaume, kwahiyo Kanda zingine Kuna kina nani?

Acheni ujinga wa ukabila nyinyi, hamna lolote la kuzidi labda ushamba tu ndo mnawazidi Kanda zingine.
Mademu kama wewe ndio mnaopaniki pole sana mwajuma


#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 

Sio kanda ya ziwa tu pekeake, nikwa wa Tanzania wote wenye akili na wazalendo.
 
Untrue
 
Mimi kilichonishangaza waziri kuipigia promo kampuni ya Rostam(TAIFA) huku akizitenga kampuni zingine shindani.

NB:Kanda ya ziwa acheni ukabila hauna afya kwa taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…