Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Imekaa kama kusuta suta hivi.Ni vema ujumbe huu ungemuandikia muhusika maana unamjua.Labda kama hamjui, hii Kanda ndio kupatikana Wanaume, wakuu wa Familia.
Mtaruka ruka wee na majiko ya gesi ya bure mnayodanganyishia Watanzania.
Lakini Kanda ya Ziwa wanajua, Gas imepanda Bei!!!
Hata hivo, Chuma aliwakataa, mkamwondoa, lakini kwa kuwa Mwenye njozi hafi, licha ya kumwondoa, njozi zake bado zinaishi kwa Wana Kanda ya Ziwa!
Ieleweke tu kwamba, mgawa majiko na wenzio, Kanda ya Ziwa hamkubaliki!!