Songwe umejengwa, Arusha, Tanga,Dodoma,Tabora, Kigoma
Ukiacha Msalato, viwanja vya:
- Tanga
- Tabora
- Kigoma
- Arusha
Sio vizuri na havina facilities nzuri kama uwanja wa Mwanza, and none of them are international.
Sasa sijui argument yako ni nini? Kiwanja pekee ambacho recently kimejengwa international ni Msalato.
Hivi unajua Tanzania kuna viwanja vi 3 tu internafional?
- Dar es salaam
- Kilimannaro
- Zanzibar
?????????????????
Halafu mlivyo wajinga mnasema kabisa, eti Makonda kupewa cheo na waziri kuu msaidia ambao wanatoka kanda ya ziwa, haitoshi?
Kwani kanda ya ziwa wanapewa vyeo kwa sababu labda wanabembelezwa kitu gani? Wanaombwa nini au watu wa kanda ya ziwa?